Haja Ya Moyo Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Haja Ya Moyo Wangu - Erick Smith (KE)
...
.....
haja ya moyo wangu kuwa Safi mbeleee
zako
ili ibaada yangu ipate kibali mbele zaako×2
nikujue zaidi nikuishie weee×2
haja ya moyo wangu (bwana) ni kuwa safi mbele zakoo ili ibaada yangu ipate kibali mbele zaako
haja ya moyo wangu ni kuwa safi mbele zako ili ibaada yangu ipatee kibali mbele zako
(nikujue bwaana)nikujue zaidi nikuishie wee×3
ooh bwaana
..........
(kama sio wewe)kama si wewe ningekua wa Nani nitoke kwako niendee wapii×2
(oooh bwaaana) ni wewe tu nina uzima
ni wewe tu nina uzima×4
...........
kama si wewe ningekua nani nitoke kwako nieende wapi ×2
ni wewe tu una neno la uzima ×2
(chanting)
I wanna know you moree