
Umenifaa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Umenifaa - Nandy
...
wakati wa shida
wakati wa shida
(umenivusha umenivusha wewe)
(umenivusha)
ni weweee
ulinipa njia pasipo kuwa na njia
ni weweee
ulinipa chakula wakati wa njaa kali
ni wewe
ulinifuta machozi wakati wa huzuni
ni wewe babaa(haaa aaa)
....
ina mengi dunia na ina siri nzito
hata magumu yalipo tokea hukuniacha mwenyewe
kwenye sifuri umenitoa
fedheha na laana umeziondoa
furaha na faraja imenijia
Yesuu
umenifaa uumenijaa (wakati wa shida)
umenifaa (wakati wa shida)
umejibu maombi yangu(wakati wa shida)
umenifaa (wakati wa shida)
tuturuturu tururuturu tutururutu
umetarafu na matendo ya wanadamu kwa neno la midomo yako
umeniepusha na njia za wenye jeuri nyayo zangu zi kwako
tatengeneza nawe tajiimarisha nawe
kwa kinywa changu ntakiri ulivo uaminifu wako
ina mengi dunia na ina siri nzito
hata magumu yalipo tokea
hukuniacha mwenyewe
kwenye sifuri umenitoa
fedheha na laana umeziondoa
furaha na faraja imenijia
Yesuuu
umenifaa umenijaa(wakati wa shida)
umenifaa (wakati wa shida)
umejibu maombi yangu(wakati wa shida)
umenifaa (wakati wa shida)
....
nipokee vumbi nifute
nishike nisiabike(mmmh eeeeh)
nipokee vumbi nifute (unifute baba)
nishike nisiaibike(ooh nisiabikee uh baba)
ye yeye ye ye(wakati wa shida)
wakati wa shidaa(wakati wa shida)
umevusha ni mengi(wakati wa shida)
mmh eeeh(wakati wa shida)
oh Yesu nisaidiee