![Mahabuba ft. Aslay](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/21/75/rBEehlvJe0uAJyCoAADZazyICa0844.jpg)
Mahabuba ft. Aslay Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Weka shuka kwa kitanda tuje tulale mama
Naomba ulale na kanga mana nimekumis sana
Tunanenepa mamaa japo pesa hatuna
Wanaumia sana kila wakituona,
eti wanauza vocha cha ajabu wanabeepbeep tu,
wanatamani ningekuacha wanaona wivuwivu tu, ehh nakuita nandy ndnd
Wanataka kukuteka washenzi, hawajui mimi nawe toka enzi,
Tabia zao wala sizipendi kitumbua ukitia mchanga nitaumbuka mwenzako
Tafadhali usijekunitenda watanizika mwenzako
Kuna vicenti navichangachanga nitakupa mwenzako
Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mimi niwako
Ungejua sisemi silali kwakovile sihemi wewe ni kiboko yangu
Mahabuba nyongo mkalia INI
Sinaga mwingine baba, nyongo mkalia INI
Shida yangu kukuona mzima baba njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana baba tangu enzi hizo
Wache wapark wamarange nimependa bodaboda iyee eh
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga baba eehh
Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee ehh
Uniletee mboga ninapomisi burger iyee ehh
Japo wengi wanaumia wakituona ng'aring'ari
Wanatamani furaha yetu hawapendi kushuhudia
tunavizidi kwenda mbali wanatamani furaha yetu
Majuto majuto ni Mjukuu nikikuacha
Ndo mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa
Ungejua sisemi silali kwakovile sihemi wewe ndio kiboko tangu
Mahabuba nyongo mkalia ini
Sinaga mwingne baba nyongo mkalia INI
Zidisha mahaba mama nyongo mkali INI
Nakupenda nyongo nyongo mkalia INI
Wale walepale wanakupigia misele
Basi mimi na wewe tusiishi kama kambale kila MTU devu lala lalaa