
Bila Bila Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Bila Bila - Joel Lwaga
...
INSTRUMENTAL
JITU !!!
Nikitazama nilikotoka
Hapa nilipo ninapokwenda
......ninagunduwa....
Ingekuwa ni nguvu zangu
Ningeshachoka nisingeweza
Sio kweli kwamba tu ku-hustle
Na kupambana ndio vimenitoa
Juhudi hazizidi kudra
Siwezi sema babu hakujituma
Niliiitwa ndugu lawama
Mfano wa walio kwama
Mtu asiye na maana
Wakuchekwa kudharauliwa
ila Mungu ana nguvu bwana
Leo nikipita wanaitana
Sa ngoja nami niwaite
Niwape siri ukweli ni kwamba
Bila Mungu mimi ni bila bila
Hamna kitu yaani zero bila
Bila Mungu mimi ni bila bila
Sina ujanja yaani zero bila
Bila Mungu mimi ni bila bila
Hamna kitu yaani yaani zero bila
Yaani kama meli isiyo na nahodha
Kama bunge lisilo na hoja
Me ni debe tupu bila ya Mola
Msidanganyike njee mnavyoniona
Sina mzizi wala Mlozi
Nina mtetezi tena yu hai
Yeye ndo siri ya me kunawiri
Bila ye mi chalii na sifurukutiii
Niliitwaa ndugu lawama
Mfano wa waliokwama
Mtu asie na maana wakuchekwa wakudharauliwa
Ila Mungu ana ma nguvu bwana Leo
Sa ngoja na mi niwaite niwape siri kweli ni kwamba
Bila Mungu mimi ni bila bila
Hamna kitu yaani zero bila
Bila Mungu mimi ni bila bila
Sina ujanja yaani zero bila
........................................................................
Bila Sina ujanja khee bila wee eeh
INSTRUMENTAL ...
THE MIX KILLER
LYRICS BY Minister EMARSON MEDASON