![De same bar](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
De same bar Lyrics
- Genre:Dance-pop
- Year of Release:2025
Lyrics
DE SAME BAR
Artist: KENRAZY
Produced: DYNMELOW
Album: NINI ILIHAPPEN
E Yo El Jeffe,
Its about that time
Afro Mzuka uko zone My G?,
Twende,
Mwenye tunaroll na ye This Year tulipatana De Same Bar,
Mwenye tunaroll na ye This Year tulipatana De Same Bar,
Na tutaka ka ka ka ka ka kaaa , Hiyo joh nishasema,
[Maandishi haya...]
Na tutaka ka ka ka ka kaaa, Hiyo joh nishasema,
Yuko hapa, Yuko wapi? Yuko hapa, Yuko wapi?
Yuko hapa, Yuko wapi? Eh! Mungu ni nani?
Mi ndio ule mse reminder na u-remember,
Napenda dem ana Piera ka Makena,
Na akiniambia siezi guza Murima,
Nam-impeach Gachagua Zakayo game plan,
Niliokoka, shetani akatuma dem flani
Msupa mbele yangu ana mahaga,
Akaniambia, "KenRazy nibatize na maji.."
Nika-backslide alafu nikaokoka later,
Sister Matthew alini-Mark after kuni-Look,
Anataka John ikanidi ni Act Romans Revelations,
Niliota nafanya Hozambe na Sidika,
Nikaamka nikapata miti imevunjika,
Before Egonga, Akukudanger,
Avril zile vitu hakunifanyia,
Hii mwaka ni ingine tena jo ya kuforce-i,
Ukimbao ka uko Hosi, Pita jo na Doc-i [Kwenda]
Mwenye tunaroll na ye This Year tulipatana De Same Bar,
Mwenye tunaroll na ye This Year tulipatana De Same Bar,
Na tutaka ka ka ka ka ka kaaa , Hiyo joh nishasema,
[Maandishi haya...]
Na tutaka ka ka ka ka kaaa, Hiyo joh nishasema,
Yuko hapa, Yuko wapi? Yuko hapa, Yuko wapi?
Yuko hapa, Yuko wapi? Eh! Mungu ni nani?
Nimerudi tena, Even more Krazier,
Dem wa massage aliniskiza sasa ona,
Washa kimoja, Wacha kunyonga,
Ushachafuka Embarambamba sasa oga,
Ni alarming, Ni Alarming,
Ama mnataka tucross breed tukafatute walami nini?
Ni hatari, Ni hatari,
Lucy alisema soko ni chafu sikuhizi wako Mall ndani,wueh
Napenda vitu pek no mfupa,
Nikishampiga pek namkula,
Okadwa gima kasetieko nyamo,
Bado nazubaa nalamba vidole na kucha,
Wakupeana pia leo apewe,
Wakusameheana pia asamehewe,
Tiktok ina maT-T lakini logo ni D,
Nikona Mic dem leta player niweke CD, wsup
Yo, Melow, onyesha hawa watu vile hii kitu inafanywa manze,
SMG, Twende,
wsup Mo, Lets spray this nikaaazzz
Hahaaa , Ni KenRazy