
Ati Nimepotea Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Gjyeah The time has come now
Gjyeah The best lyricist
Razy
Ah Ati nimepotea gang gang
Sikuhizi nakata tu maji
Ati nimepotea Ah
Sikuhizi nawasha tu shhh
Ati nimepotea Skrrr
Kubet ndio form imebaki
Ati nimepotea Umepotea
Ati nimepotea UmepoteaSkrra
Ati nimepotea gang gang
Sikuhizi nakata tu maji
Ati nimepotea Ah
Sikuhizi nawasha tu shhh
Ati nimepotea Yeah
Kubet ndio form imebaki
Ati nimepotea Umepotea
Ati nimepotea Umepotea
Toka zile siku za ukoloni
Nimekuwa na beef beef na longi
Mkono ni mabling bling ka Atwoli
Tuko CBD F two na mbogi
Ako moody but hataki bazenga awori
Yee ndio stude mi ndio ticha mboko hapa ni ngori
Uko kwa DM while
Mi namsmarsh ma PM na
Namfanya ana CM
Weka U in between them ah
Three some siezi complain room baridi
Usishtuke Rubadiri im so high Razy rubani
Ka Dora sirudi nyumbani
Ilianza na mbao nikashika thao
Nikapata makao after mazao
Jo madharau kwa macho zao
Beef kama cow nashindwa ni hao
Naeza make wasee wengine ka thao vile niliku-make
But wee huezi make hata mmoja vile wee hudai ati ulinimake
Mi huweka msupa wangu jo beside me not below me or above me
Unless ni saa ya ile kitu na hiyo story hukatsia watu
Ukifuga dready ati umepotea
Tatoo ukiseti ati umepotea
Basi mi kama Razy vitu napanga kudu ntazidi kupotea
Ah Ati nimepotea gang gang
Sikuhizi nakata tu maji
Ati nimepotea Ah
Sikuhizi nawasha tu shhh
Ati nimepotea Skrr
Kubet ndio form imebaki
Ati nimepotea Umepotea
Ati nimepotea UmepoteaSkrra
Ati nimepotea gang gang
Sikuhizi nakata tu maji
Ati nimepotea Ah
Sikuhizi nawasha tu shhh
Ati nimepotea Yeah
Kubet ndio form imebaki
Ati nimepotea Umepotea
Ati nimepotea Umepotea
Mtoto no more Msoto no no
Ndoto Mbosso after Yamoto
Kushoto more doe Handsome choco
Intro storo number borrow
Kudoro no jo Chatting mpaka moro
Coasto yolo vodo no joke
Beachi joto take a photo Sodom Gomor
Magoro kwa shingo Namuingiza Kwa'm'box
Kiss Kamene obnice
Unangoja nifall off utangoja sana wee na mbogi yako sorry guys
Tent ya wasanii wote wa kiki jo iko huko sio this side
Mu-tua wananiita Mkurugenzi juu wanajua ni story time
Veteran lakini naidu ni ka ndio nastep in the scene
Nakill marapper daily blood on me naogopa kusleep
They've been sleeping on me thinking im asleep when they sleep
Lyrics zangu ni sick bro mi nina deadly desease
Mi hu-support wenzangu jo roho safi not for ganji not for nothing
Blessings humwagika daily vile hiyo story hubamba sirgodi
Akienda dunda ati amepotea
Akikiwasha ati amepotea
Kuna vitu worse so wacheni ku-miss use the word umepotea...
Ah Ati nimepotea gang gang
Sikuhizi nakata tu maji
Ati nimepotea Ah
Sikuhizi nawasha tu shhh
Ati nimepotea Skrrrr
Kubet ndio form imebaki
Ati nimepotea Umepotea
Ati nimepotea UmepoteaSkrrrrra
Ati nimepotea gang gang
Sikuhizi nakata tu maji
Ati nimepotea Ah
Sikuhizi nawasha tu shhh
Ati nimepotea Yeah
Kubet ndio form imebaki
Ati nimepotea Umepotea
Ati nimepotea Umepotea