![Good morning](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
Good morning Lyrics
- Genre:Afrofusion
- Year of Release:2025
Lyrics
GOOD MORNING
Artist : KENRAZY
Produced: MAPLENKA
Album: NINI ILIHAPPEN
Gjyeah, Ah, Twende.
Ah, vile jana ilianza, uliamka ukaambia Mungu asanta,
Ukashika simu joh usoro kwanza,
Alafu ukadunga ile ya kuchokesha ma-hater,
Kutoka jam bampa bampa,
Kwa jam dem unampa tu number,
Kidogo dah! gonga bumper, Kesi polisi, toboka mkwanja,
Fika job late boss anabonga mbaya,
Anakucheki na ile macho ni ka ya ku-fire,
Ni jana na wife mlikosana, more blanda,
Ma-text kwa phone yee hupatanga,
Eh ndio maana mi sikufichi, Leo itakuwa siku fiti,
Ruka toka kitanda yako anza hustle yako,
Then sema na mi good morning,
Chorus: [Good morning] x4
Ah! Labda ulibet ukahata,
Janta ulifaa ku-get beshte yako akapata,
Acha nikushow real talk kwanza,
Kuna will ya God na vile wee huwanga unataka,
Kwa kibanda vitu ulikuwa unakinda hakuna mse ali-buy,
Madeni zisiku-stress endelea na hustle tu utawai,
Inafaa , good morning glory mtoto, Alafu unatengeneza godoro,
Baadae unapiga tena photo moto, Wacha mtoto A-slay yamoto,
Jana , ulikuwa msoto, ile ganji ulingoja iingie haikuingia,
Leo , itakuwa ni ka ndoto, juu vile siku itakuwa fiti jioni bado tu
Utaskiza good morning,
Chorus : [Good morning] x4
Good Morning yeeeea!
Good Morning eeee eeeh!
Kila mtu kuna shida anapitia ye,
Na ukichunguza pengine yako ni ndogo aye,
Kila mtu kuna shida anapitia ye,
Na ukichunguza pengine yako ni ndogo aye, ayeee yeaaah!
Good Morning
Hahahahaaa Yeah,
Good Morning,
Mambo ni Vulai,
Sema Na Mi, Good Morning,
Toka Nairobi,
Good Morning,
Inaitwanga Kenyan Music to The World
Hahahahahaaaa...
Maplenka, waonyeshe vile tunafanya hii pande ya East Africa,
Kama kawa ni KenRazy...