Sioni ft. Joemadeit, K4 Kanali & Lil Chullo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Your mama is my mama
Kila mtu abebe wa wenyewe
Ah yeah
Ehe ama ni Kanali Ni KenRazy
Oowhy sioni eh
Ile kumix nimemix wanafaa kunilipa
Naskia side huu wapoa wameiva
Ama ni makali ni makali ndio filter
Mi sijali after bill nitalipa
Tangu tupatane na kikwela na kiko
Amejipin mbidho Simple Stevo
Nilimuambia nimseti akasema ni light up
Mmh ni size what nikamuambia ni size her
Sister hoe nikona shida ya macho
Sioni kitu naonanga wa kwangu
Kiasi asi mi naangalia ukuta
Zimelipuka mi naangalia ukuta
Zimenishika hata sioni aaah sioni
Niko maji hata sioni eeeh sioni
Nashangaa mbona sioni aaah sioni
Zimenishika tu jioni eeeh jioni
Nakata maji hata sisosi i guess ndio mi sinoni
Na Kejani nikona msupa mi sinyongi
Kwanza leo sirogi i swear mi sibongi
Ni kutulia kuchafua meza na siogi
Piga shot kitu kali na si OG
Watu wako single hivi kweli ama ni story
Dem yako akicheki mwenye club anakuwa horny
Akirudi mtaa wacha nilale baibe sorry
Nacheki tu ma UFO
Kizungu za PLO
Mwili weak mbaaya chakula ni GMO
Sioni na bado nazusha nipewe more
Club ina-make doe so hawaezi ignore Razy Pewa
Zimenishika hata sioni aaah sioni
Niko maji hata sioni eeeh sioni
Nashangaa mbona sioni aaah sioni
Zimenishika tu jioni eeeh jioni
Zimenishika nimeshindwa mpaka vile ntatembea
Nabonga really slow sana mbona nalegea
Niko mavitu sana na sioni ka ni rare
Waroro kuwasuka tukidhani watatupea
Sioni lakini si unajua niko jikoni
Sauti ya huyu msupa inatoa nyoka shimoni
Amin naeza teka hawa wawili
Niwaweke kwa meza na wapewe tot mbili
Si Siri i like the way im feeling
Omera ang'o machandi asebiro na kibare
Najua mshajua mlipashwa hiyo habari
Masaa za kulewa si mnajua ni magizani
Sijalewa
Sijalewa
Leta chupa leta chupa
Hii pombe ikona chumvi
Zimenishika hata sioni aaah sioni
Niko maji hata sioni eeeh sioni
Nashangaa mbona sioni aaah sioni
Zimenishika tu jioni eeeh jioni