Tufanye tena Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Gjyeah
Come come come hapa nikuambie
Ni kenrr
Tufanye tena
Kama jana leo tufanye tena gjyeah
Tufanye tena
Kama jana leo tufanye tena ah
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Shhh Ah ishaingia mmh
Jiti kwa pochi ishaingia mmh
Kumbuka ni one night stand hata
Sijui jana ni nani aliingia
Oya tulipatana last year
Hatukubonga juu alikuwa anajiskia
Mi ndio nilikuwa na hisia
Nafikiria jinsi ya kumapproach malkia
Aaaah anaitwa shenseea
Mtoto shtima to be sincere
Maji anakata kama musa lakini huezi mgusa
Kumbe kuna mubaba analipia
Eeeh hapo ndio saa nikaswitch gear
The funny razy mkora itasaidia
Baba anakatika anafurahia
Hii pande ingine anashtuka hustler ashaingia
Tufanye tena
Kama jana leo tufanye tena gjyeah
Tufanye tena
Kama jana leo tufanye tena ah
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Shhh eeh kusinzia
Ni kitu siezi fanya twitter ntaingia
Saa inabidi mi niko jaba
Lakini wewe obare wachanga ufala pia
Nikitokea madem huniwikia wacha!
Haya ngoja skia ooh my god kenrazy
Saa kiki ya nini? Na hit ishawafikia
Back to ile story nilikuwa nawapigia
Napakua kila akinipikia
Anakuja bila fare kutumiwa
Juu anajua nikichapa lazima jo kurudia
Saa ingine ye hujiita mkutano
Ananinyima ananifukuza saa tano
Njeve inampiga msupa jo anashiver
Simu inalia saa sita kenrazy kujia
Tufanye tena
Kama jana leo tufanye tena gjyeah
Tufanye tena
Kama jana leo tufanye tena ah
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya
Nifanye nisifanye fanya