![Story za KenRazy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
Story za KenRazy Lyrics
- Genre:Dance-pop
- Year of Release:2025
Lyrics
STORY ZA KENRAZY
Artist: KENRAZY
Produced: DYNMELOW
Album: NINI ILIHAPPEN
Juu ndio hii ingine,
Ahmm!, Ni KenRazy,
Ah!, Mpenzi msikilizaji, Nimekuwa kazi niki-sharpen kipaji,
Ikitoka usimame udansi, in the meantime nikiweka mambo flani wazi,
Watu brave but most fear,
To be real so wana-suffer Kwa hii atmosphere,
Si ndio industry we can�t stop here,
Usipochunga huta-notice uki-die slow dear,
Familia pia kila mse anashida zake,
Nchi yetu una deni utake usitake,
Wanatucheza tufanye tusifanye, Next Election hiyo box nijipate,
News sikuhizi pia horror sijui ka ume-notice,
Mse amechoma wife, keja mpaka Na watoi,
Haifai kuwa normal lets pray for the country,
Najua nikisema nyi wote mtakubali,
[Crowd Roar] Ah! si unacheki wanamezea,
[Crowd Roar] Story Za KenRazy,
[Crowd Roar] Gjyeah, Eeeeh! si unacheki wanamezea,
[Crowd Roar] Story Za KenRazy,
Kile u-come kabla fall huwanga pride,
Kaa una ndai usi-look down upon mse ana bike,
Juu walai kuna mse akona plane Na ana-fly,
So relax joh my guy beshte eat humble pie,
Ka hujapata mtu saka mtu,
Hii generation kila gender inajiambia the same thing tu,
Ati maboy sikuhizi Ni ma-player tupu,
Ati madem hawaezi settle sa si tu du,
Morning after chaguo la teeniez,
Tulipata acci, Na Sosuun Na masiz,
Ndai ikastopiwa Na tree, after kuslope downhill,
Huyo Ni God anakushow vile nafaa tu kuwa here,
Ata ukuwe mdosi aje grave haitachimbwa Na mdosi,
Respekt boy anahustlia familia,
Walieza lamba lolo juu Tichi nilishika matiti,
Wacha saa niingize Jiti, Twende, Rhaaaa,
[Chorus]
[Crowd Roar] Eeeeh! si unacheki wanamezea,
[Crowd Roar] Story Za KenRazy,
[Crowd Roar] Gjyeah, Eeeeh! si unacheki wanamezea,
[Crowd Roar] Story Za KenRazy,
-beat plays-
Kaa Ni kuchill sina time jo rafiki no,
Kaa kuna bizz nina come bro, hadithi njo,
Hizi loan tunapewa si doe za bure,
Oya Rufus, washa kimoja hii ni Hit Ingine�.
[Crowd Roar] Eeeeh! si unacheki wanamezea,
[Crowd Roar] Aaauuuuuuu!