![Itajipa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
Itajipa Lyrics
- Genre:Afrofusion
- Year of Release:2025
Lyrics
ITAJIPA
Artist: KENRAZY FT. IRULE
Produced: MAPLENKA
Album: NINI ILIHAPPEN
Yeah! Ah! Matime mi huamka ngware,
Yeah!
Matime mi huamka ngware nafeel si-hustle enough,
Nafeel the more nasonga the more everything inakuwa tough,
Nafeel Nacheza game safi but life inacheza rough,
Nafeel ni-go against the norm but na-fear handcuffs,
Napiga tea one cup, Na kiss msupa goodbye, Naingia Kwa net ku-surf, nashow mafans one love,
Nje maboyz baze laughing kila mse aki-puff,
Wengine genuine wengine wana-fake that laugh,
Wasee wananishow im the most hardworking rapper,
Nikifika home my daughters hunishow �daddy kaa hapa�,
My mom yee huni-call ku-ask tu kaa niko salama, my dad yee huni-show �jaduong� bi ga kata lima�,
Reality check, kila life Ni so important, Usi-feel uko alone, usiji-shoot ama uji-slaughter,
Na wee hater usi-kill mse juu tu anapata,
Mahali nimefika si-take it for granted hata, ah..
[Chorus]
Never give up on your dreams,
Najua Life huwa hard ila Yeye ni Core ITAJIPA,
Never give up on your dreams,
Najua Life huwa hard ila Yeye ni Core ITAJIPA,
Constant Hit maker mangoma haziezi isha, Razy night inaeza shika Na zote hamtaziskiza,
Coz hata hii Ni ingine, after hii Ni zingine, pengine God anistop hewa hii niingize,
Im just a young man trying to make it big,
Not even big nataka ku-set record no one haja-reach,
Fan base young, old, the poor and the rich, Down to earth boy ndio maana daily mnanidig,
Im the head but still heading places, Im never dead always dedicated, So sophisticated,
Hii si album tu, hii ni album true,
Lyrics powerful kaa sermon ya pastor mkuu,
Razy una ngoma mob si tunajua tu mbili,
Blame it on some radios & TV stations but fuck it,
Unaeza ingia google search KenRazy, everything you wanna know about me utaipata SUBSCRIBE..
[Chorus]
Never give up on your dreams,
Najua Life huwa hard ila Yeye ni Core ITAJIPA,
Never give up on your dreams,
Najua Life huwa hard ila Yeye ni Core ITAJIPA,
Since hii ndio the last verse Kwa hii song,
Nta-make sure to you Ni the best verse Kwa hii song,
A message worth ku-listen, no fiction im just feeling the moment,
Nafeel great Razy coz im sealing the content,
All the love mnanipea , I can feel it in the air, The best lyricist hiyo ill repeat it everywhere,
Leta track i promise ill kill it anywhere, story ya beef men I guess I can seal it under here,
Ka unataka beef mzeiya tupatane bama ama kikopey,
Utashiba kwanza tu Na ya kuonja,
Hii Ni for the hater rappers wale hunifuata, ana-dislike hii mbona aliskiza hata kwanza,
Tap my flow haina cholera man, nafeel Ni ka mi ndio nastroke na wee ndio camera man,
Mi Ni mchafu soap tu ni saa ya opera man, Ka Madtraxx na-kill na-dance tu kumerera man,
[Chorus]
Never give up on your dreams,
Najua Life huwa hard ila Yeye ni Core ITAJIPA,
Never give up on your dreams,
Najua Life huwa hard ila Yeye ni Core ITAJIPA,
ITAJIPA,
ITAJIPA, yee yee yee yee yeah ha!, ITAJIPA, YeeYeaiiii!