Loading...

Download
  • Genre:Dance-pop
  • Year of Release:2025

Lyrics

NI MIMI

Artist: KENRAZY

Produced: MAPLENKA

Album: NINI ILIHAPPEN


Gjyeah,Wooo Gjyeah Ni Mimi, Rhaaa,

Walitugwaya, (Hahaaa), Wakatema mate mbaya, (Ni KenRazy),

Rudia na kina Kaya, (ahmm) Kila mtu akataka ,

Chorus:

Ule jamaa alifanya uka-smile zile time umejam - Ni Mimi,

Akakugusa mahali inafaa � Ni Mimi, Kakushibisha saile una njaa � Ni Mimi, [Ni wewe? � ni mimi] x2

Akakupa hits kila time � Ni Mimi, Lugha naughty lugha ya mtaa � Ni Mimi,

Nawa-respect mi nawasaluti mafans,


Ngoma ya kwanza ah, lipua visogo, (gjyeah gjyeah) Boy fly boy winyo ka Osogo,

Boy nice, Boy trend, Boy father, Boy wa Ghipuka, Boy baaaad rapper,

Niki-come industry ilikuwa kinda tough, Mafans nao wengi never get enough,

Pande ya ganji buda ndio ilikuwa kinda rough, Tuliskuma bunda sai tuna kinda laugh,

KenRazy nikakuja na new phrases, News live narepoti new cases,

Ghipuka Nation all of a sudden new faces, New breed industry nikaipa new changes,

Who�s king mnasaka in the wrong places, Crown iko ndani ya club na iko so safe,

Come u-roll na King my dear, Flag ya Kenya tunaipeleka high this year,

�Hakuna kitu Razy alisaidia�, Uchungu ikisemwa na mse nilisaidia, ah!

I just have to be sincere, my friendly nature wamefanya naichukia,

[Chorus]

Ni nani?- Ni Mimi,

Akakugusa mahali inafaa � Ni Mimi, Kakushibisha saile una njaa � Ni Mimi, [Ni wewe? � ni mimi] x2

Akakupa hits kila time � Ni Mimi, Lugha naughty lugha ya mtaa � Ni Mimi,

Nawa-respect mi nawasaluti mafans,


Jomino walitugwaya, wenye walishuku wakatema mate mbaya,

Tichi, Kamua, Rudia na kina Kaya, Kurekodi huko kila mtu akataka,

Wakasema siezi do bila manager, Wasanii kaa seven nikawapa foundation,

Artist bado pacho manager, Unselfish but sikuwahi lala njaa,

Sai hao Wasanii wana-challenge world, Inanibamba sana ka competitor,

Ni ma-performer tena wabaya Sana, Kuzidisha kila mmoja ana manage ah!

Niaje Razy nina studio flani nimeanzisha inaitwa Grandpa,

Unaeza come through unipe hype ntashukuru,

Tena nikaishia nika do that, just to bring the vibration back,

Same script huko nikawapa hits kibao, New artists ka eleven, push nihao?

Tuka-shut down na dawa ya moto, Tenda mema jipe shughli ikakuwa my motto,

[Chorus]

Ni nani?- Ni Mimi,

Akakugusa mahali inafaa � Ni Mimi, Kakushibisha saile una njaa � Ni Mimi, [Ni wewe? � ni mimi] x2

Akakupa hits kila time � Ni Mimi, Lugha naughty lugha ya mtaa � Ni Mimi,

Nawa-respect mi nawasaluti mafans,


Ikienda kudedi game nilii-keep alive, Wasanii wakapotea mi nkaendelea ku-thrive,

Walikwama gari, crazy mi nawa-drive, Waki-testi maji splash mi nilisha-dive, ah,

Wanasemanga do it for yourself then for others, I guess nilidu the opposite,

Its high time nidu for myself and for Kenya, I guess mtadedi na mahits,

Nashukuru for the 18years, Experience and physically grown Ken pia,

If you got beef please don�t come near, Ka nishawai work na wewe thank you dear,

Show sikuhizi six figure bila hiyo sita- fika, Nakushow naelekea mamita,

Usilie airplay du mamacita, Sema tu ni nani hachezi tutamkuta mitaa,

Hakuna kitu nilifanya my way, Kuna vile tu Mungu alipanga highway,

Juu nikicheki mabaraka sai wee, Nashukuru Gai wee....

[Chorus]

Ule jamaa alifanya uka-smile zile time umejam - Ni Mimi,

Akakugusa mahali inafaa � Ni Mimi, Kakushibisha saile una njaa � Ni Mimi, [Ni wewe? � ni mimi] x2

Akakupa hits kila time � Ni Mimi, Lugha naughty lugha ya mtaa � Ni Mimi,

Nawa-respect mi nawasaluti mafans,

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status