![Aibu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/23/1F/rBEeM1ufjAmADgWFAAC6oeN1320684.jpg)
Aibu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Aibu - Nandy
...
kimambo on the beat
Verse 1
oh baby mwenzako mi nawashwa pabaya
kiuchokozi ukinigusa gusa mie haya
yetu mtoko oh mihogo beach Coco oh oh
nidekeze kitoto oh kachumbari kwa Kijiko oh
Hook
(wanna be so low na unifanye utakavyo baby give me some more ziteke zangu hisia)×2
Chorus
(Aibu aibu)×4
Verse 2
nawaza imekuwaje nimetumbukia kina kirefu mbele sioni
show loh weh chumbani umentunukia leo unipeleke ngaramtoni
umenishika hidara hallo hallo hapo Sala oyoyoo
sina sera oyoyoo kesho shela
Repeat Hook
Repeat Chorus
..............
Repeat Chorus