Say No More (Alien Album) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ka ni shtick unataka baby girl
Say no more
Vile unafeel me najua baby girl
Say no mooore
Kaa ni treat unataka baby girl
Say no more
Mshahara we chukua baby girl
Say no more. Say no more
Verse .Say no more
Nimebeba panadol
Nimebeba citamol
Nimebeba kinyamo
Ana ziwa,kinangop
Ana haga, zinabounce
Anataka nimpe mboo
Anataka nyongolo
Me husema ukweli
Hata nikidanganya
Msafiri mambo mbaya
Sipangiwi cha kufanya
Nina crew ya vampires
Utafyonzwa ukimwaya
ukinitusi na kichina nitakusikia
Luku ni safi, manzi ni safi, anajiskia
Tuna ta ta ta ta kwenye rear (bayanni
Kama ni pesa.Kama ni makeup
Kama ni gari.Kama ni Mali
Kama ni shamba.Kama ni shada.Kama ni keja
Ka ni shtick unataka baby girl
Say no more
Vile unafeel me najua baby girl
Say no mooore
Kaa ni treat unataka baby girl
Say no more
Mshahara we chukua baby girl
Say no more
Say no more
Jana juzi Leo, kesho kesho kutwa
Ngipo jongomeo, ukiweka unawika
Ni huyu msupa ananikuta kwa ukuta
Hadi nimeshindwa kwenda mboka
Vile hiyo kitu imeshika ikashika
Me napenda akiinama kama twiga
Mwenye anakunywa maji
Style akiiweka mti yangu inapotea ka yule tunji wa rongai. Mshee ni masai. ako mangwai
Credits
Artist: Alex msafiri
Audio producer: jei bud
Alien Album