MAISHA (KAZI NA SALA ALBUM) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Wine fine woman by my side on the throne
She was painted I'd say she wasn't born
The only thing I'm losing is bad friends
Apart from music, i set trends
Some want a trip hadi Seychelles
Wengine wanataka kuona netflix
Some niggas see wives in barbies
Some niggas see barbies in wives
Siku hizi nina show ka madjozi
Bila panga ninapanga kichokozi
Msafiri niko kazi jumamosi Hadi jumamosi
This the pound cake rhyming
Cash Rules Everything Around Me
Sijasoma kama wao kimaisha hawaniezi
Talk to me nice uwache zurura na vyeti
Sina haraka na maisha
Ka una haraka nakupisha
Msafiri nachachisha
I gat nothing to loose
I gat nothing to prove
Sina haraka na maisha
Ka una haraka nakupisha
Msafiri nachachisha
I gat nothing to loose
I gat nothing to prove
Verse.Niliambia msupa nipe uone
Vibes kwenye stuuu
Najua haunipendi boo
Unanipendea mguu
Ananiita Alex bond ju sijai miss
Kwanza ka ni backshots
Naichapa kutoka nyuma,Kama sucka punch.
Chonjo" kwenye woofer, alijam ju nilicum kwa matuta
Verse.Tears I cry.Fears I hide
This Is merely pride. I gat pain inside
Next time when you see me.Please say hi
Those are words from a sister
Watamaliza kitabu .Wakitutafutia sababu
Wamekosa adabu.watu wa ajabu
Wao ni backbitters.Wao ni backstabbers
Busy stabbing me.And they cant stab for me.Washikaji feki
Sina haraka na maisha
Ka una haraka nakupisha
Msafiri nachachisha
I gat nothing to loose
I gat nothing to prove
Sina haraka na maisha
Ka una haraka nakupisha
Msafiri nachachisha
I gat nothing to loose
I gat nothing to prove
Outro.Sina haraka na maisha
Ka una haraka nakupisha
Msafiri nachachisha
I gat nothing to loose
I gat nothing to prove
Sina haraka na maisha
Ka una haraka nakupisha
Msafiri nachachisha
I gat nothing to loose
I gat nothing to prove
Credits. Song: Maisha
Artist: Alex Msafiri
Produced by Wesley tides
Written by: Muisyo Alexander/ Wesley Tides
Album: Kazi na Sala