Hood Politicians (Alien Album) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Tunacome na siasa.Wanatubeba ndogo
Miaka tano zimeisha
Hakuna kitu imechange kuna venye
Free my dogs from the kennels
Tunacome na siasa.Wanatubeba ndogo
Miaka tano zimeisha
Hakuna kitu imechange kuna venye
Free my dogs from the kennels
Wakenya wakona stress
Uchumi ni ngumu,life niexpe
What do you expect
Goons kwenye office, tax ndio bread
Lost my job last week,now am looking for a change
Usanii haulipi,Tuko helpless.Wako reckless
Y lie na mkono kwenye Bible
Y lie mnafeel tu entitled
Y lie ningewamada na ki rifle
Wanatubeba ndogo,Kina zakayo ni mabombo
Only thing naeza wapa ni cha kati
Nigga what, nigga who, saa ngapi
Tuko ritho,tuko rada,me si dwanzi
Mkidish hamwachi hata bakshish
Taxation gishagi hadi back streeet
Tunacome na siasa.Wanatubeba ndogo
Miaka tano zimeisha
Hakuna kitu imechange kuna venye
Free my dogs from the kennels
Tunacome na siasa.Wanatubeba ndogo
Miaka tano zimeisha
Hakuna kitu imechange kuna venye
Free my dogs from the kennels
Alex msafiri and jei bud
Alien Album