Seremala (Alien Album) ft. Jei Bud Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ananiita seremala.Kila kitu me hufixi na mbao
Nina nyundo kwa kitanda
Nikikuja siwezi kosa zambarau
Anapenda nikiiranda
Msafiri me siwezi tupa mbao
Ananiita seremala
Kila kitu me hufixi na mbao
Nina nyundo kwa kitanda
Nikikuja siwezi kosa zambarau
Anapenda nikiiranda
Msafiri me siwezi tupa mbao
Msumari kabati.zungusha samani
Mikono nina tatu.Na yote ina nguvu
Mmoja wa kuchana
Mwingine wa kushona
Na mwingine wa kuranda randa randa. Randa randa eeeh
Hook.Ameshindwa na kuranda randa randa randa randa
Ile design nam randa randa randa randa randa
Ameshindwa kuranda kuranda randa randa randa
Ile design nam randa randa randa randa randa
Ameshindwa na kuranda kuranda randa randa randa
Ile design nam randa randa randa randa randa eeh
Verse 1.10.Fundi kamili.Jina msafiri
Jiji kwa jiji.Ama kijiji
Natafutwa na wasupa ka jangili
Cheki fashion..nikistep ni correct
Mapedi wa kwenu wananiita connect
Msupa wa boo ananiitanga bae
Ex wangu akona nyash simind kuizia bet
Nawakunywa.Bila chupa.Nawakaza.Bila screwer
Nikona dem havaangi chupi
Na sio fashion ni joto ya jiji
Bra ashatoa ju hiyo brand haimlipi
Hapendi kazi, akona simu kali
Weh uko hapo unampenda
Na unajua amekazwa ndio aiwai
Leta beef nikugeuze chajio
Nikona flow inaeza vunja fagio
Baby girl amebeba kalio
Before aende lecture.Ye hucome kwangu
Na akitaka pesa.Me humpea zangu
Na akitaka nyundo.Me humpea yangu
Ananiita seremala.Kila kitu me hufixi na mbao
Nina nyundo kwa kitanda
Nikikuja siwezi kosa zambarau
Anapenda nikiiranda
Msafiri me siwezi tupa mbao
Ananiita seremala
Kila kitu me hufixi na mbao
Nina nyundo kwa kitanda
Nikikuja siwezi kosa zambarau
Anapenda nikiiranda
Msafiri me siwezi tupa mbao
Msumari kabati.zungusha samani
Mikono nina tatu.Na yote ina nguvu
Mmoja wa kuchana
Mwingine wa kushona
Na mwingine wa kuranda randa randa. Randa randa eeeh
Hook.Ameshindwa na kuranda randa randa randa randa
Ile design nam randa randa randa randa randa
Ameshindwa kuranda kuranda randa randa randa
Ile design nam randa randa randa randa randa
Ameshindwa na kuranda kuranda randa randa randa
Ile design nam randa randa randa randa randa eeh
Fundi kamili.Jina msafiri.Jiji kwa jiji...eeeh
Credits. Song: Seremala
Artist: Alex Msafiri
Produced by Jei Bad
Written by: Muisyo Alexander/ Jason Jack. Album: Alien