FOR THE RECORD Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mmmh
For the record
Sina sononeko
Ki-Ricky bekko
Nashoot kila angle
Silete mengo
Ukishindwa nenda zako
Mi siwezi kukulamba mtu wangu
Nina options
For the record
Came from the bottom
Niggas these days
Hawataki kumwaga jasho
Nina pesa
Lakini sio zako
Jifunze kusaka pesa
Sio kusaka wenye pesa
They said I won't make it
Sai wananitaka dooh
Sina shida na threesome
Bora me nianze bro
Huna pesa Huna income
Pesa zako bricki choow
Una pesa..ziko wapi
Una wasupa..wako wapi
Una gari...ziko wapi
Una nyumba..iko wapi
Na ukikufa...uzikwe wapi
Wacha uwongo..rudi hustle
Maninja these days wanajichocha bila bando
Most emcees ni waongo
Hits lab wako chonjo
Me I came here bila dondo
Sai niko juu kama jua son
And that's facts producer
Nikiomoka sitakulenga
Nitakujenga benzo mpya
Yo, For the record
Niggas these days wanagive up, sana
Hawataki kujituma
Wanagive in, sana, wanataka za huruma
Wanatalk sleek sana
Na hawataki kusaka unga
Yo, Rudi ocha
Fuata qta c
Mtangoja
Me nishuke G
Mkilala, Narauka
Mkiamka, Niko wera
Siwezi flinch ju ya beef uliza sammie
Nimekwamilia kwamboka design ya frankie
Niite gwangie
Buda
Bash sio bash bila bash ndani ya nyumba
Na beat sio beat bila purp ndani ya mdundo
Of cos ni juu ya nyuma, huyo dem siwezi mwacha
After chali yake ni mi wa kwanza
Uzuri yeye humnyima ni me humkaza
Hapo vipi
Hapo sawa
Ka professor
Maridhawa
Uliza Esther
Nikona Dawa
Sikatai huwa unanipa, hadi natulia,
Ila,Tukikutana ni unilenge nilikwambia
Demu yangu atakuchota ukinisalimia
Yo,Neck ni fiti kama ya mbuni
Flex ni fiti, kamata mdude
Msupako ananipenda
Ju mi ni mhuni
Game ilienda mrama
Ju manahodha walipimana
Nkwagalanyo alisemanga
Maintain the plantain na sitakuaga
Simaanishi ndondi nikisemanga
Bila ring Tunagongana
Morio nilimshtua akameza taxin
Kidogo aniitie mbanga
Iko nini
Purple Got the sauce
Written by Muisyo Alexander
And Purple G Beatz