Koroge ft. Afrikan Coffee Kenya Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Anataka raps.Anataka niteme
Anataka wimbo .Anataka waba
Anataka fimbo.Anataka fwaka.Anataka mwiko
Ye, anataka nimkoroge.Anataka nimkoroge
Ye, anataka nimkoroge.Anataka nimkoroge
Anataka fimbo.Anataka fwaka
Anataka mwiko.Ay, anataka nimkoroge
Anataka nimkoroge.Ye, anataka nimkoroge.Msafiri
Usitense, nakuja na benz, wao wakikuja kalesa
Come with your friends, polepole tutatesa
Fake Gs tunakata, nakuja na razor
Nawabeba kama gwash na b.razor
Hii si mirinda ni Pepsi
Msupa anasack kama Chelsea
Who wants smoke leta sensi
Duffle bag na macenti
She hold the wire like a fencer ninamwita ndolo malika
Hii Mali inaliiika, hii fom imejipa
Ana head game fiti
Halafu chini matin..chini matin
Ana head game fiti
Halafu chini matin..chini matin
Ana head game fiti.Halafu chini matin
Ana head game fiti.Halafu chini matin
Anataka raps.Anataka niteme
Anataka wimbo .Anataka waba
Anataka fimbo.Anataka fwaka.Anataka mwiko
Ye, anataka nimkoroge.Anataka nimkoroge
Ye, anataka nimkoroge.Anataka nimkoroge
Anataka fimbo.Anataka fwaka
Anataka mwiko.Ay, anataka nimkoroge
Anataka nimkoroge.Ye, anataka nimkoroge
Through the lens na hiyo bado ndio recipe
Nik9 rada kama mbanga wa Eastleigh
Bila glock chini ya pillow me siwezi sleep
Ka ni game tunacheza like every week
Kama sitafuti dooh natumia dooh
Kama sijalala benki niko kwa chopper
Kama siko maji niko muguka.Kama hanipi Mali sinamtoka
Through the lens na hiyo bado ndio recipe
Nik9 rada kama mbanga wa Eastleigh
Bila glock chini ya pillow me siwezi sleep
Ka ni game tunacheza like every week
Kama sitafuti dooh natumia dooh
Kama sijalala benki niko kwa chopper
Kama siko maji niko muguka
Kama hanipi Mali sinamtoka
Anataka raps.Anataka niteme
Anataka wimbo .Anataka waba
Anataka fimbo.Anataka fwaka.Anataka mwiko
Ye, anataka nimkoroge.Anataka nimkoroge
Ye, anataka nimkoroge.Anataka nimkoroge
Anataka fimbo.Anataka fwaka
Anataka mwiko.Ay, anataka nimkoroge
Anataka nimkoroge.Ye, anataka nimkoroge
Credits.Alex msafiri x African coffee
Audio producer: jei bud. Alien Album