SKELE ft. BEAT KIDD Lyrics
- Genre:Holiday
- Year of Release:2024
Lyrics
Msafiri, Kinara Kamili
Niggas talking reckless
Walidhani me nacheza, they regretted
Nikey kwenye locker, Na ni checklist
Msafiri Kunidiss,i detest it
Femcee nime feature, see the Niceness
Mikono nina tatu na ina biceps
Sikuangi free mtuangu niko Priceless
Stevie kwenye beat, man a budness
Yo, Msafiri ndio jina
Sijui ku act, Hiyo class ilinishinda
Free Verse siwapei, penda gari penda bei
Kioo juu ya rhymes, word to Tee fika bei
Trap niggas so funny, They fold like swans of origami
I thought he was a gAngster, until he started running
I Never knew he had some hidden talents
Heri mokoro back left na mbele ni wife
Juu naeza jipata nimemshika ma thighs
Mshii wa mine,Ni Mali safi wallai
Yo, Shika, gamba, Shika, lamba, ingiza
Cheki skele wa mine
Nimtamu kama soda,ye hunipea roho moja
Cheki skele wa mine
Alisema neno moja, roho yangu ikapona
Cheki skele wa mine
Roho safi na ameoga,hauwezi mtongoza
Cheki skele wa mine
Figure number nane na amebeba kubeba
Cheki skele wa mine
Nimtamu kama soda,ye hunipea roho moja
Cheki skele wa mine
Alisema neno moja, roho yangu ikapona
Cheki skele wa mine
Roho safi na ameoga,hauwezi mtongoza
Cheki skele wa mine
Figure number nane na amebeba kubeba
Nina msupa yeh huoga na maziwa
Ngozi fine black skin kama tiwa
Ana vibes zinaflow kama river
Juu chini ako fly kama njiwa
Nitakupa vyote, Ikiianguka niiokote
Itabidi niokoke, Unafanya niropokwe
Lulu ya thamani, Unanipa maruwani
Uko fly ka rubani, Siezi kutoa kwa ramani
I remember when we met
We would share the plate
Pretty eyes and the scent
You was humble, I would fumble
I was even scared kusema jambo
But your smile made it easy, Pendo likazidi
Ukanishika mkono, kanitulizia baridi
Waridi,ulinipecki nikachizi, Msafiri
Nikashindwa nina nini
She said Alex nataka uwe wangu
Furaha uirudishe usiniache ka babangu
Unipende ya ukweli ,Changu kiwe chako
Na chako kiwe changu
Mchezo bado kavu, na hii kitu nono
Na Leo sikuvunji mbavu, wacha nikuvunje mgongo
Cheki skele wa mine, Figa number nane na amebeba kubeba
Cheki skele wa mine
Nimtamu kama soda,ye hunipea roho moja
Cheki skele wa mine
Alisema neno moja, roho yangu ikapona
Cheki skele wa mine
Roho safi na ameoga,hauwezi mtongoza
Cheki skele wa mine
Figure number nane na amebeba kubeba
Cheki skele wa mine
Nimtamu kama soda,ye hunipea roho moja
Cheki skele wa mine
Alisema neno moja, roho yangu ikapona
Cheki skele wa mine
Roho safi na ameoga,hauwezi mtongoza
Cheki skele wa mine
Figure number nane na amebeba kubeba