Sema Paranoia (Bonus Track) ft. Pandemic Pon De mic Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Sema Paranoia. Sema paranoia
Njege angenishika nikiseti wajakoya
Sema Paranoia. Sema paranoia
Njege angenishika nikiseti wajakoya
Natema ka tumbaku
Zistick ka sumaku.2016, i started the label
Team.safiri. Tukianza hii muziki.Ni a few waliamini
Yours truly, tukifika jua ni movie
Msafiri am very expensive
Msupa wa kasarani aliniletea kisirani Hakuamini nilimwitia majirani
Am a black man making black money
Anguka nayo Kama boniface mwangi
Who wants smoke nimelace hii Mali
Eff Gava, they never saw us coming. Teamsafiri
Sema Paranoia. Sema paranoia
Njege angenishika nikiseti wajakoya
Sema Paranoia. Sema paranoia
Njege angenishika nikiseti wajakoya
Credits. Alex msafiri and pandemic mungai
Alien Album. Produced by Jei Bud