Thamani Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2018
Lyrics
Thamani - Nandy
...
Thamani na sura yako
Ndo inafanya mwenzangu ujidai
Usiringe alokupa naye
Iko siku atakuja kudai
Sina thamani mi hunukia ya zamani
Kisa umemuona kishkwambi
Umenikana kuwa rafiki hadharani
Kweli penzi chachu tena silambi
Eeh bora ungekuwa wazi kuwa hunitaki
Ningemiliki kuwa lonely
Kuliko penzi kuwa chachu
Ya maisha yangu furaha yangu nisiione
Eeh mwana wa mwenzio
Mwana Christina
Nafsi yangu kuishi na kinyonge
Zinasema 'Hi'
Ukiniacha nitakufa mazima
Sio sawale, sio sawale
Ukiniacha nitakufa mazima
Itakuwa hatare, itakuwa hatare
Ukiniacha nitakufa mazima
Sio sawale, sio sawale
Ukiniacha nitakufa mazima
Itakuwa hatare, itakuwa hatare...
Muda mwingine nawaza sababu ya kununiana
Au labda mwenzangu bado una uvulana
Makusudi visa na dharau kupigana (huzuni)
Mi ubavu wako wa kushoto nimeumwa
Aibu huoni ahh
Aya ya ya ya
Aya ya ya ya
Aya ya ya ya
Muda mwingine nawaza sababu ya kununiana
Au labda mwenzangu bado una uvulana
Mi mwana wa mwenzio
Mwana Christina
Nafsi yangu kuishi na kinyonge
Zinasema 'Hi'
Ukiniacha nitakufa mazima
Sio sawale, sio sawale
Ukiniacha nitakufa mazima
Itakuwa hatare, itakuwa hatare