
Sawa Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sawa - Wyse Tz
...
ukisema unipendi
nisawa
najua yupo mungu ananipenda sana
ukisema sifai
nisawa
najua yupo mungu kwake nafaa sana
ukisema unitaki
nisawa
najua yupo mungu ananitaka sana
ukisema sins kitu
nisawa
najua yupo mungu ananipigania
anayenipafuraha ni yeye ee
anayenipa amani ni yeye ee
amenipa uzima ni yeye ee
sina mwingine namtegemea yee
mungu wangu ananipenda aa
Anavyo nibariki na shukuru
mungu wangu ananipenda aa
Anavyo ni bariki na shukuru
Naringa mi,na ringa
Naringa mi, na ringa
Naringa mi ,na ringa
Naringa mi,na ringa
Natamba mi,natamba
Natamba mi,natamba
Natamba mi,natamba
Natamba mi,natamba
Naringa mi , na ringa
Naringa mi , na ringa
Naringa mi , na ringa
Naringa mi , na ringa
Natamba mi , na tamba
Natamba mi , na tamba
Natamba mi , na tamba aaaa yeeeyeyeee
Natamba mi , na tamba
mungu wangu , ana ninpenda
Anavyo ni bariki na shukuru
mungu wangu , ananipenda
anavyo ni bariki na shukuru.