Mama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mama - Wyse Tz
...
Nimerudi nyumbaniii
Miaka mingi imepita
Nimekumisi jamani
Mama nimekukumbuka siwakumbuka samani
Ulivyo kuwa ukiniita hasa purukushani
Nikashindwa kupona
Ila nimefarijika nilivyokukuta salama
Uso umejaa tena unatangaza kwanza nini umepika njaa imenishika omama fanya unipakulie nimemis vitamu nilikosa mengi zamani upendo wako mama ukanivumilia
Viza vingi utotoni mpaka nikahis kama unanionea zile vimbo zako mkononi na kila nilipo kosa mama ulinikemea upendo wangu kwako mungu pekee ndio anayejua mama
Mama angu hakuna kama wewe mama
wewe ndio kila kitu changuu mama
Maana hakuna mwinginee mama
Wewe ndio dunia uangu
Mama yangu bado uko hai nashukuru mungu
Kuna hawa wezetu
Mama zao wamesha tangulia
Sio kwamba mm najidai wala sio ujanja wangu namuomba mungu aendelee kuku linda kama nimekukosea naomba unisamehe tena nimekubebea vizawadi uvipokee kuna mengi ya dunia haki utaumia kote nitakutetea usibaki mpwekee
Nilikosa mengi samani upendo wako mama ukanivumilia visa visa vingi utotoni mpaka nikahisi kama unanionea zile fimbo zako utotoni nakila nilipo kosa mama ulinikemea upendo wangu kwako mungu pekee ndio anaejua mama
Kwangu hamna kama wewe mama
Wewe ndio kila kitu changu mama
Maana hakuna mwingine mama
Wewe ndio kila kitu changuu mama maana hakuna mwingine
Wewe ndio dunia yangu mama mama mama