
Nimependwa Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimependwa - Wyse Tz
...
Nataka nitume salamu kwa wenye chukii
Wapige nyungu makalamu mi sibandukii
Nishaandika kwa kalamu tena sifutii
Ah mi na wewe damu damu wangu habiptiy
Unanikosha unavyodeka rahaa
Basi mwenzako nacheka cheka rahaa
Upole wako umeniteka rahaa
Baridi baby natetemeka rahaa
Naona now am in love nimependwa tena
Aah am in love nimependwa tena
Naona now am in love nimependwa tena
Aah am in love nimependwa tena
Ufundi wako naujuzi zile ta ta ta
Kwa bakuri nikimwaga mchuzi yani mwa mwa mwa
Mwenzako kwenye kichwa brek zimeruz zimeka ta ta
Menja ganda wakule ndizi mambo ya pa pa pa
Unanikosha unavyodeka rahaa
Basi mwenzako nacheka cheka rahaa
Upole wako umeniteka rahaa
Baridi baby natetemeka rahaa
Naona now am in love nimependwa tena
Aah am in love nimependwa tena
Naona now am in love nimependwa tena
Aah am in love nimependwa tena
Nimependwa tena
Nimependwa tena
Am in love am in love