
Angalau
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Angalau - Obby Alpha
...
**instruments**
Angalau hawajajua udhaifu wangu maana wangejua ona ningeteseka.
Angalau hawajajua sura yangu ya huzuni maana wangejua mbona wangenitesa,
Kama wangejua nikikosa pesa nahangaika mbona wangejua hao wangenitesa.
Kama angejua kikweli nampenda, kama angejua mbona angenitesa
Hivyo sitafanya vitu vya kufurahisha Ulimwengu mzima maana sitaweza.
Bali nitafanya vitu vya kuutikisa Ufalme wa BWANA na kumfurahisha.
**chorus**
( Angalau, angalau, angalau, hawajajua udhaifu wangu x2 )
**instruments**
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Obby Alpha Angalau MP3 song. Angalau song from album Tabasamu is released in 2022. The duration of song is 00:03:37. The song is sung by Obby Alpha.
Related Tags: Angalau, Angalau song, Angalau MP3 song, Angalau MP3, download Angalau song, Angalau song, Tabasamu Angalau song, Angalau song by Obby Alpha, Angalau song download, download Angalau MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
ayoub888wk
Demibreckffca5
ni kweli yan dah
Uinuliwe zaidi katika kumsifu na kumtukuza yeye atutiaye nguvu Barikiwa saana katika hii karama
Demibreckffca5
nice brooh
Michael Masolwatpcqp
Uinuliwe zaidi katika kumsifu na kumtukuza yeye atutiaye nguvu Barikiwa saana katika hii karama
Fredrick Ng'walolela
"Angalau" Mashairi ya rohoni sana nimeyapenda sana,Nakuombea sana uinuliwe juu zaidi.
Joshua Fidelis mlungwana
ubarikiwe sana obby Alpha
Joshua Fidelis mlungwana
Thank you God for this song, ANGALAU HAWAJAJUA UDHAIFU WANGU
ubarikiwe na uniuliwe zaidi