![Lini](https://source.boomplaymusic.com/group1/M08/CD/86/rBEeMV0UnImAQQiiAACRbJWGK2I100.jpg)
Lini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Lini - Wyse Tz
...
hal yangu tet na ww ndio chanzo
unafany wanicheke kutwa vikwazo
kwenye mapenzi nikiwete nawe ndio mwendo
nataman nikuacheila moyo kikwazo.
nishafanya kila njiaaaa ah!wala hunionyeshe thaman.
na machozi nikaliaaaa ah! maumivu ya ndan kwa ndani.
ivi ni lini nitapona(pona,pona,ponaa)
mbona yana ni sonona*2
umenipiga mtama nipo chin chali.
kila unachofanya mbona ni hatari
hata ukiniona unaninyarinyari
punguza kununa nipate afadhali
chorus ........
nishafanya kila njiaaaa ah!wwala unionyeshe thamani .
na machozi nikaliaaaa Ah!
maumivu ya ndani kwa ndani
ivi ni lini nita pona (pona pona pona)
mbon yana nisonona(pona pona pona).
nipende na mie
free nation .