![Cheza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/ef609388a3aa402b9b3029d8e31b654c_464_464.jpg)
Cheza Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Cheza 🅴 - Wyse Tz
...
Cheza - Whyse Tz
Logic
.....
Instrumental
......
Vrs
Iwe usiku mchana
Ama asubuhi mwanana
We ndo changuo langu
Mi mwingine hapanaa
Unanitoshea Sanaa
Nimekupa moyo wangu
Hata niwe nacho hata nikose
Ujali baby bado tupo wote
Unanifuta jasho nisichoke
Kidogo chetu tunakula wote
Baby mmmmmh ( Waubani )
Hali yangu ( Tahabani )
Sielewi umenipa nini
Sielewi sielewi
Pandisha juu shusha chini
Alf nambie kwani iko nini
Nabaki mmmh mmmh
Sisemi sisemi
Ninyeshe unavyo
Cheza cheza
Nione unavyo
Weza weza
Baby cheza cheza cheza
Ninyeshe unavyo
Cheza cheza
Nione unavyo
Weza weza
Baby cheza cheza cheza cheza
.Instrumental.
Vrs 2
Sasa nambie unapenda Nini
Unapenda pilau ama biliani
Au samaki wa baharinii
Nikupe chocolate pipi laini
Ukitaka lambalamba nikupe koni
Basi nambie unataka niniii
Hata niwe nacho hata nikose
Ujali baby bado tupo wote
Unanifuta jasho nisichoke
Kidogo chetu tunakula wote
Baby mmmmmh ( Waubani )
Hali yangu ( Tahabani )
Sielewi umenipa nini
Sielewi sielewi
Pandisha juu shusha chini
Alf nambie kwani iko nini
Nabaki mmmh mmmh
Sisemi sisemi
Ninyeshe unavyo
Cheza cheza
Nione unavyo
Weza weza
Baby cheza cheza cheza
Ninyeshe unavyo
Cheza cheza
Nione unavyo
Weza weza
Baby cheza cheza cheza cheza