Umbrella Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Umbrella - Wyse Tz
...
Nikiamka asubuhi nikikuona kipenzi wangu
Baby weka chai unipe kikombe changu
Mi majeruhi ntapona maradhi yangu
Kwani hujui kata kona nipe vitu vyangu
Na ukinimiss ukuje tiktok tuingie live wataptap
Watume marose vigift tushindane kwenye live mach
Oh jama yamenoga mapenzi
Kumbe ndo matamu hivi
Kwake sioni sisikizi ooh naa
Ata mvua ikinyesha we ndo umbrella
Jua likinichoma we ndo mwamvuli we
Yani mvua ikinyesha we ndo umbrella
Ah jua likinichoma we ndo mwamvuli we
Mwamvuli we we ndo my umbrella
Mi ukinigusa hapo hapo hapo nipo
Ukishuka kidogo utamu kisogo mimi hoi
Ah zile karate judo katikati mido
Nipe dabodabo mimi kwako hunitoi
Na ukinimiss ukuje tiktok tuingie live wataptap
Watume marose vigift tushindane kwenye live mach
Oh jama yamenoga mapenzi
Kumbe ndo matamu hivi
Kwake sioni sisikizi ooh naa
Ata mvua ikinyesha we ndo umbrella
Jua likinichoma baby mwamvuli we
Ata mvua ikinyesha we ndo umbrella
Ah jua likinichoma my baby mwamvuli we
Oooooh yeyeeeh umbrella mwamvuli we
Mwamvuli wewe your my umbrella