PAIN AWAY (KAZI NA SALA ALBUM) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Partying the pain away
Tequila the pain away
Singing the pain away
Puffing the pain away
Rumming the pain away
Driving the pain away
Sekete the pain away
I hope itafade away
Majungu ni mengi, thoughts nina nyingi
Mali nina mengi, na bado sitosheki
Pesa ninataka, ranch kwa kichaka
Maisha ya faster, ustaa ni gharama
Yes fame ni baraka, but life ina matter
Had to move to a cheaper location
Sina time ya kuplease on the nation
Madeni ziko mob, zimenifika kwa koo
Nawekezea ukoo, uliza my broo
Nina watoto wanangojea inheritance
Sina time ya kuflex na shenanigans
Ask wes ka ni ngoma tuna takriban
I should calm down I have seen enough
I should give crown I have starred enough
It's the pain that keeps me alive
Hook. Partying the pain away
Tequila the pain away
Singing the pain away
Puffing the pain away
Rumming the pain away
Driving the pain away
Sekete the pain away
I hope itafade away
verse2. Some new age women wanna get married
Just to get kids, and flee with your money
Wao ku commit wanadai haiwezekani
Divorce kila place wanageuka shugamamis
Wengine watakupaka hadi matope na jina wachafue
Ulipe child support pesa zako wakamue
Fore you wife one piga search kila corner
Msorore mtaani sio online
Hii kitu nimeicheki mara nyingi
Boiz wangu alifanyiangwa hivi
Sai akobaze unalialia nini
Amka utafute, maninja wana struggle
We sio wa kwanza, wengine ni Double
Ukiona nina smile siri ni moja. Kazi na sala