Weh! ft. M3 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Nie nyendete kutheka
Nie nyendete kuthaka
Njora
Njora
Njora wa manjaro
Scoot over
Kama ukona noma
Mashida
Zako sina haja
Ju pupa
Ni pipa tu a brother
Na chupa
Ni heri to your banter
So jipe
Shughuli kama pastor
Kamati
Ya roho chafu mi si member
Ni fiti
Kama hunioni mi ni pleasure
Ju mimi
Zako nishashiba shiba shiba eh
Nitacheza katii nitacheza bladder sema weh
Sitawacha party siniambie nani sema weh
Nitacheza katii nitacheza bladder sema weh
Oh oh weh
Oh oh weh
Njora wa Manjaro
You can't beat the feeling
If the beat keeps giving
In keeping
With the moment so freeing
No kidding
We about to beekeeping
Honey High fives ju vibe ni sublime
Honey I'm fine
Call it high tide
Ju ni high time hizi stress zi subside
Na kama unabeef
Take it outside
Dub to the heat as I dab to the beat
If you talk with your fists
Miss me with that shit
Aha ha ha ha ha
Sitawacha party siniambie nani sema weh
Nie nyendete kutheka
Nie nyendete kuthaka
Nie nyendete kutheka ta arata
Nie nyendete
Nie nyendete kutheka
Nie nyendete kuthaka
Nie nyendete kutheka ta arata
Nie nyendete
Nie nyendete kutheka
Nie nyendete kuthaka
Nie nyendete kutheka ta arata
Nie nyendete
Param param param pampam
We keep it moving
Like funk keeps it grooving
Maisha si rehearsal
Chunga ya living
Bad energy go far away
Far away
We keep it moving
Like funk keeps it grooving
Maisha si rehearsal
Chunga ya living
Bad energy go far away
Far away
Hey weh
Hey hey weh
Hey weh
Hey hey weh
Sitacheza na rules zako apana aha
Ukinijaribu utapatana na uppercut hey eh
Sitacheza na rules zako apana
Ukinijaribu utapatana na uppercut ah
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu
Sitacheza na rules zako apana eh
Ukinijaribu utapatana na uppercut uuuwu