Niombee ft. Joy Ocholla Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Nikojuu KICC
Nikisema nipeleke ICC
Nafeel kama crime to humanity
Mawazo na mchuzi ya misery
Aimlessly nimeplague these dreams
Na aimless things kama chasing green
Kama chasing
Ecstasy emptily
Empty I be
Empty I see
Depressed I be
Now I scream nimejichosha na my sins unseen
And it seamlessly seems siko in
Machoni ni uchovu wa hofu obscene
I hope you won't see
Machozini ni ugomvi wa thoughts unclean
Kama who I be
Who have I been
Really who will miss me
Njora ebu ngoja ngoja
Maisha ni safari vikwazo
Na vitisho
Miujiza na vishindo
Huwa haibaguwi
Jikaze kisabuni persevere ki Kasavuli
ukifika mwisho
Jipe moyo
Futa moshi
Jifiche kwa kivuli
Tena omba
Na ukiomba niombee
So curb that speak usiruke please
Nimbus hufunguka clear the skies within
Mvua ikianguka panda mbengu za ku win
The fall ikisumbua break the fall with your dreams
So curb that speak usiruke please
Nimbus hufunguka clear the skies within
Mvua ikianguka panda mbengu za ku win
The fall ikisumbua break the fall with your dreams
So curb that speak usiruke please
Nimbus hufunguka clear the skies within
Mvua ikianguka panda mbengu za ku win
The fall ikisumbua break the fall with your dreams
So curb that speak usiruke please
Nimbus hufunguka clear the skies within
Mvua ikianguka panda mbengu za ku win
The fall ikisumbua break the fall with your dreams
Maisha ni safari vikwazo
Na vitisho
Miujiza na vishindo
Huwa haibaguwi
Jikaze kisabuni persevere ki Kasavuli
ukifika mwisho
Jipe moyo
Futa moshi
Jifiche kwa kivuli
Tena omba
Na ukiomba niombee