Njora Wa Manjaro ft. Joy Ocholla Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Clap your hands one time
Make it two times
Now three times the charm
Now unwind
Niite fam vile niko down to earth
Take a bath in a good vibes
Ka Blinky on a new track
Ka Mbithi on a new flick
Kama Dan on a new scene
Kama Chuchu on a new pic
Picture perfect vision on it
Jab that beat tufike tour so sick
Pole kwa delay
Reggae tuendelee
Pole kwa delay
Reggae tuendelee
Wire that wale hadi wyre apande mizizi
Ndio Nazizi aturoge na cocktail ya mnazi
Mi ni fan boy
Excuse me ka si make sense
Ka ni noise ni necessary
Na exemplary
Uliza plenary
Pundit sorry punit focus ka frasha fresh
Ka boneye see this CD ni za kompakt
Gabu you guy you guy
Roba amecome Collo ame burn Nyash ameflames
Dog pound chiwawa
Maybe alicatch, maybe walipatch, who knows?
Patch to the uttermost
Kama Aroro arrow yo amenijazz
Asiyo weka pass Adwar
Njora wa manjaro
Amekuja na top five kama thao
254 flow ni anthem wapi Jairo
Hapa moto kama pasi ita five O
Hala
Njora wa manjaro
Amekuja na top five kama thao
Nasijawataja wote wote bado
Hapa moto kama pasi ita five O
Usitie shaka kitu siwa
Kalamashaka washafikiwa
Ukoo flani ndio ukoo yani
Bark and bone sisi matawi
Ogopa dj moss moss
Boomba train ndio main floss
Nameless Esir to the whole crew
Kapuka never felt so good
Ksouth be the real shaka
Can't forget all the boom blacka
Iyo nini sema no, no
Genge baba ya tone tone
Flex Jua na Nonini
Waki come kwa booth utasema nini
Kings wa East in beast mode
KEN Y A on cheat codes
King Khali na Octo
Beef tamu leta pronto
Eyes on skill never felt so real
Resume unraveling
No time to be graveling
Thank you salute
Bila nyinyi sisi bado
Njora wa manjaro
Amekuja na top five kama thao
254 flow ni anthem wapi Jairo
Hapa moto kama pasi ita five O
Hala
Njora wa manjaro
Amekuja na top five kama thao
Nasijawataja wote wote bado
Hapa moto kama pasi ita five O
Juliani on course
Ni mkali of course
Kantai RIP
Mode ni ya boss
King Kong ndio source
Krupt main course
Habib na Manga tupe anime
Matrix kali
End of age
Njora wa manjaro
Amekuja na top five kama thao
Nasijawataja wote wote bado
Hapa moto kama pasi ita five O
Hala