Kaprincess ft. Manasseh Shalom Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Oooooooh ooooooooh
Na iwe iwe shangwe
Yaanì nìna ùtanu mwa
Na nìenda evidence ìsuffice
Nìnaumala soko
Ka princess ni kama ka na tease
Na sentence nikama inafree
Sensual seductions coming through bila please
Of course
Nitasneak
Motions nikama zina ease
Vibu nikama iko free
Conversations
Bila freeze
Sensations
Zikisneeze
Ha chew at you
Blessings to be by you
Mapenzi iko flow nywee kama bayou
Like two bantus to the t's tumecome through
Tumecome through yeah
Wapi boat ju tuna float ama ni wingu number nine
What's your number here is mine exchange call it hot line
Vuta digits kama zote I promise you'll be mine
Vision hadi date nights ndio tupange hadi isle
Mi na wewe tonight
Tunaingia deep end
My love and affection
All my attention
Ni yako kaprincess
Feelings intense
Tena tukona ruhusa
Hii ni holy matrimony
Sasa princess badili kawa queen
Panda cheo ju sasa I am king
Incense na myrrh
Ndio hizo wanabring
Cheque kwa bank
Sasa nina ring
Ruracio wacha nkupe pasho
Wageni wamejaa na mashaino
Piga densi na nyimbo za musaimo
Kata keki nitwacokia gatho
Moja kwa moja
Ndege inangonja
Tumepanda wengine tushawacha
Can't believe that ndoa tushafanya
Wapi boat ju tuna float ama ni wingu number nine
What's your number here is mine exchange call it hot line
Vuta digits kama zote I promise you'll be mine
Vision hadi date nights ndio tupange hadi isle
Mi na wewe tonight
Tunaingia deep end
My love and affection
All my attention
Ni yako kaprincess
Feelings intense
Tena tukona ruhusa
Hii ni holy matrimony
Ha chew at you
Blessings to be by you
Mapenzi iko flow nywee kama bayou
Like two bantus to the t's tumecome through
Tumecome through oooh
Moja kwa moja
Ndege inangonja
Tumepanda wengine tushawacha
Can't believe that ndoa tushafanya
Na iwe iwe shangwe
Yaanì nìna ùtanu mwa
Na nìenda evidence ìsuffice
Auuuuu
Na iwe iwe shangwe
Yaanì nìna ùtanu mwa
Na nìenda evidence ìsuffice
Nìnaumala soko