Breathe ft. Kendi Nkonge & Manasseh Shalom Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Oh breathe
Release your stress just breathe
Go in slow more oh oh just let go
Breathe
Release your stress just breathe
Go in slow more oh oh just let go
Siu breathe
Release iyo tension yes breathe
Punguza iyo stress please breathe
Reduce iyo pace and breathe
Nigga
Please
Offspring bado wanakuneed
Spring forth ili wakufeel
Though the sting's sor, believe me ita heal
So live and breathe
A moment at a time weh chill
Si lazma ita rhyme so free
Kila pressure kila kisa ju ni killa
But if you breathe
Maybe then you'll see
Si kila kitu iko fixed
On your downfall
Please breathe eh
Insomniac
Mchuzi chili mid-level mania
Mawazo helter skelter yani everywhere
Nimeomba sikuskii where's my savior
Sikuoni anywhere anywhere
Kwani dhambi zangu ni zile hazina clemency
Ulisema tukitubu tutapata heavenly
Ama ni mimi sikuskia na iyo ni heresy
Pitisha henesy pewa yote please
Ju mimi nishachoka na hii guess work
Ju sijui mbele nyuma, what came first
Nikostranded ki sharubu hapo k-pop
Say more no say less
Ju anyway they want less
Na stress yako ni your mess
Stay low stay lost and breathe
Siu breathe
Release iyo tension yes breathe
Punguza iyo stress please breathe
Reduce iyo pace and breathe
Nigga
Please
Offspring bado wanakuneed
Spring forth ili wakufeel
Though the sting's sor, believe me ita heal
So live and breathe
A moment at a time weh chill
Si lazma ita rhyme so free
Kila pressure kila kisa ju ni killa
But if you breathe
Maybe then you'll see
Si kila kitu iko fixed
On your downfall
Please breathe eh
Ninananga hapa inani bana hapa
Inani kana bana inapunguza faya
Anxiety mlango wa hayati
Usingoje waambiwe samahani
Suluhisha kisha hapo kwa Kesha bisha
Though ni usiku itisha unahitaji itisha
Mjulishe hata kaa ni Jirani
Jiepushe mbali na hatari
Hata ka ni kali ka mbali na ajali
Atakaa unadhani
Ukweli hawajali
Weka akili tuli badala ya unge uli
Ulimtafuta nuru gizani
Ulisimama kati ya upinzani
Ulijikaza bila ata hisani
Na tumaini utapata mizani
Siu breathe
Release iyo tension yes breathe
Punguza iyo stress please breathe
Reduce iyo pace and breathe
Nigga
Please
Offspring bado wanakuneed
Spring forth ili wakufeel
Though the sting's sor, believe me ita heal
So live and breathe
A moment at a time weh chill
Si lazma ita rhyme so free
Kila pressure kila kisa ju ni killa
But if you breathe
Maybe then you'll see
Si kila kitu iko fixed
On your downfall
Please breathe eh
Ahhh
Njora wa manjaro
If you breathe
Maybe then you'll see
Si kila kitu iko fixed
On your downfall
Please breathe just