Stima Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Kama prada, si calico
Ni ajab, vile inagrow
Hii beat tamu utadhani co
Ama patco na mandazi four
Shika pat though
Rigga jo
Diverse flow hadi rhythm jo
Of course, bro, mi nita hip hop go
Pen, paper eh here we go
Hippy, hippy hop
Tumefika bop
Ukifika stop
Ingia hiyo shop
Uliza Mr. Don Yen, Ye ndio mwenye chop
Karate hiyo floor, eh
When you hear this drop
Inaslap kama chapati
Base tamu kama kabati
Flavour safi kama kaimati
Cheki vile umeme umati, stima eh
Stima eh
Stima eh
Stima eh
Inaslap kama chapati
Base tamu kama kabati
Flavour safi kama kaimati
Cheki vile umeme umati, stima eh
Stima eh
Stima eh
Stima eh
Ni hardcore na soft touch
Koroga na gourmet
Strategy na ole
Leaving them like oh ehh
Old school na new
Boom bap na groove
Hii vibe test ni through
Matokeo ni oooh oooh eh
Flip it, kick it, wing it, sing it, anyway you flow
Rip it, tip it, sip it, knick it, anywhere you go
Sisi, mimi, yeye, nyinyi, all the ways we know
Ni nini, nani, yani, siujiachilie we go
Inaslap kama chapati
Base tamu kama kabati
Flavour safi kama kaimati
Cheki vile umeme umati, stima eh
Stima eh
Stima eh
Stima eh
Inaslap kama chapati
Base tamu kama kabati
Flavour safi kama kaimati
Cheki vile umeme umati, stima eh
Stima eh
Stima eh
Stima eh
Mmmh, mmmmh
Njora wa Manjaro
Vile nimejipace, nilidhani ushashika si vako
Mmmh, mmmh
Naughty kama nature
Ndani kama chupi utadhani ni mchumba wako
Mmmh, mmmmh
Njora wa Manjaro
Vile nimejipace, nilidhani ushashika si vako
Mmmh, mmmh
Naughty kama nature
Ndani kama chupi utadhani ni mchumba wako
Inaslap kama chapati
Base tamu kama kabati
Flavour safi kama kaimati
Cheki vile umeme umati, stima eh
Stima eh
Stima eh
Stima eh
Inaslap kama chapati
Base tamu kama kabati
Flavour safi kama kaimati
Cheki vile umeme umati, stima eh
Stima eh
Stima eh
Stima eh
Mmmh, mmmh
Njora wa manjaro
Ndani kama chupi utadhani ni mchumba wako