Sikai Hapa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sikai hapa ataka nimeumia
Amka now eh hujaskia
Amka now na sidai after
Ju walai hapa mi sina hisia
Hata kaa uoga chungu nzima sinia
Hata kaa na hofia mi na nia
Fungua macho no fear kazia
Fumbua pambo anzia pazia
Story story time
Hapo before this rhyme
Nilizama ka nanga na nunge yo bana lakini this time I'll find
My rhythm na mwamba juu yangu
Nimenog'a hii swara juu yangu
Pay attention hii story redemption na ngori
Wakati ni mine it's time to rise
Up up hey
Down ni Ngozi ya njugu
Ju system si pamba si sweet ya kulamba na minahitaji iyo nguvu
Flex flex kama peacock
Lakini weh jua si maringo
Ni kucheck mate ju haiwesmake kucheza bila kishindo
Hii life si contest
But itakufanya ukimbize ki conquest
Tena ujishuku ka nugu kwa market
Pocho pocho lakini hauna budget
Viboko zingine ni fatal
Utajipata butwaa ka deer
Na headlights si za ideas
Ni zile za weh naskia
Na' alijipata na context
Ya pata potea yani yote
Sasa yeye ni zuzu bunuasi
Mwelekeo imejaa wasi wasi
Kamba kwa shingo si necklace
Kiti kwa ground ni restless
Ju mawazo overbearing na life ni scary so death ikawa ni less stress
Sikai hapa ataka nimeumia
Amka now eh hujaskia
Amka now na sidai after
Ju walai hapa mi sina hisia
Hata kaa uoga chungu nzima sinia
Hata kaa na hofia mi na nia
Fungua macho no fear kazia
Fumbua pambo anzia pazia
Sikai hapa ataka nimeumia
Amka now eh hujaskia
Amka now na sidai after
Ju walai hapa mi sina hisia
Hata kaa uoga chungu nzima sinia
Hata kaa na hofia mi na nia
Fungua macho no fear kazia
Fumbua pambo anzia pazia
Atí atí keh
Sounds across the nation
United in frustration
So here is a sermonation
Atí atí keh
Sounds across the dome
They won't leave me alone
And this is what we know
Kila mtu ni gangster mpaka mpaka ipate disaster
Kila mtu ni hamster mpaka laps zipate ongeza
Bila stamina hopeless better ketisha before iwe bitter
But heri kufeli ju stagnation ni worse eh mi sitapass