SHANDA FREESTYLE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Wewe ni mimi mwongo nyuma
Msafiri sina time ya munuka
Wako mbogi nimekuja na msupa
Kama ni pesa mtuangu siezi kosa
FVck huyo mganga alisema sina nyota
Reason being nilidinda kutoboka
Shetani haezi shinda heri hata niokoke
Kitu Wameshindwa kunipaka ni matope
Nasaka pesa jana juzi mpaka shoke
Kama milango ni za sila naziopen
Sina time ya panganga kula ndole
Alinifanya adesanya tukamgeuza kipchoge
Mrazi pigwa tisa, Tisa kwanza fisa
Me am Cool till u violate
Dem yako nam penetrate
Bangili ju ya mali, Wallahi mshikaji
Chini ya maji ni Askari
Bars ju ya meza,We doing it major
Supu ni ya pweza, Na fatuma nateleza
Sitaki fwaka leta moja
Leta beef naimada na kakwota
Bitch niggas, wanapenda kuropokwa
Bitch niggas me napenda kuwatoka
Bitch niggas kula saba kwa utosi
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda,Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda,Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote,Naeza mshanda
Ka nimefunga macho zote,Naeza mshanda
Ka nimefunga macho zote
Buda ka ni kakwota leta mbili
Kahawa ka ni strongi Weka tungi
Eti Mat-art ni ya ronga na haina tunji
Naeza shanda shanda shanda ndo wajue hawajui
Msafiri me ni mui, msupako naeza mteka
Moves kama chui, nina tembo juu ya meza
Bark kama gui, ujipate kwa jeneza
Nikiwa colle kuna mode niliteka
Si kwa keja, tripple decker
Wako baze wanacheka,Fuck hao mahater
Hauku clap vile nilishinda
Sai una clap vile nimeshindwa
Ibilisi akishinda,Haimanishi mungu ameshindwa
Tulikuwa na agreement
Na mwalimu wa ngosso
Akiingia me natoka
Boy wa ocha ,Na kiburi ya mjini
Siku hizi nimeomoka,mwenyewe sijiamini
Kila kitu na wakati
Yo Adui yako hana rangi
Yo Usiwachie mbogi manzi
Yo Usiwachie manzi mbogi
Yo Sina feki washikaji
Yo leta pesa leta ganji,Msafiri
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote,Naeza mshanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda,Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda shanda shanda
Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda ,Ka nimefunga macho zote
Naeza mshanda,Ka nimefunga macho zote,Msafiri
Credits
Song: Shanda Shanda
Artist: Alex Msafiri
Produced by Jei Bad
Written by: Muisyo Alexander/ Jason Jack
Album: Kazi na Sala