![Kampito](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/11/4efe272c72644e2f94a44aca33199ed7_464_464.jpg)
Kampito Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Kampito - Baddest 47
...
nilikosea kupendaah,Ama nilikosea kuchoose
nikamchoose Anna,hataki bwana ambaye mchuzi Hana
hpo ndipo nilikosea
sabuni ya kuoshea nikaogea
oohoohooh sea
Mwana mama ukasepa ukapotea
mazima
kumbe penzi
la kuazima
nawasha taa
Wana anazima
wanakupitia
Kila nikizima