![Sir God](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/06/733089bbe8494b408cd04294fa0093f0_464_464.jpg)
Sir God Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sir God - Baddest 47
...
ahhh weed
champion boy
yeah ah
sir god!(god) me mwanao sir god
ona nimekosa kodi
mwenye nyumba atanikwida chobi ….afu
sir god(god) ! kuna kitu tukifoji
dem wangu namcheat
vipi hatuwezi tukamwongeza body…..afu
sir god! (god)mie similiki vogi
basi fanya kampango
nimiliki hata sinagogi….. oyah
sir god!(god) nimekimbia sana jogi
nimepiga sana gym
lakini kitumbo hakitoki oya sir god!
amen! bariki x3 nibariki
sir god! (god)love ina ni affect
kila chaka nalojaribu kutulia
linabonyeza next
sir god! (god)si unamuona billgates
fanya kama una connect
chukua za kwake kwangu paste
sir god!(god) teketeza ma snitch
na pisi zenye bulichi
zinarudisha nyuma zina filisi
sir god!(god) nimekimbia sana jogi mmmh
nimepiga sana gym
lakini kitumbo hakitoki oya sir god!
oya nibariki ..amen bariki x3