![Mauzauza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/28/2dc70ddfee33414f8ab4048a738ae454_464_464.jpg)
Mauzauza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mauzauza - Baddest 47
...
.............
mmmh
............
chibby once again ma' fukcer**
weeed
chibby
"maa uza uzaaa, mbona kama mauzauzaaa, walisema nisichomee, nimechoma nimenasaa" (anasaa) .
unalala na haujasoma, hutaki tuchome... kumbe wanakuchomaa (anasaa)
dhambi zako za sodomaaa.. gomora michezo yako ya mbuzi kagomaa (anasaa)
yani hapo ndo unafeliii.... unanunua mapenzi afu not for sale (anasaa)
ogopa matapeliii, hatuchinji kuku mpaka aumwe kidelii (anasaa)
kupenda Penda si tulikukataza, kama umeachika kula nyama nyamaanza.. ukizidisha kumtangazaa....
Kuna siku tutakukutangazaaaa.
"maa uza uzaaa, mbona kama mauzauzaaa, walisema nisichomee, nimechoma nimenasaa" (anasaa) x 2.
kitambo mi nakutonyaa, kutumia pesa na mtonyo Maja shonaa (anasaa)
kilometer zishasomaa, kutubania kisauti kama wa kusomaa (anasaa).
(Shee) Bora kishikwa ugonii, ila kutumia pesaa na kulala aloneee (anasaa).
"ahaaa"
hata picha huoni, Kuna kakitu anafichaa anaficha usoniii (anasaa)
(yeaaah)
mtakuja kutuua na presha... mfundishe kuvaa demu wako anachekeshaaa (hahahaha)
Kuna vitu vya kuniendesha, kama sio vijiti basiii ujue ni pesaaa. (uuuuuwiiiii)
"maa uza uzaaa, mbona kama mauzauzaaa, walisema nisichomee, nimechoma nimenasaa" (anasaa) x 2.
..........................
..........................
nimechoma nimenasaaa **
nimechoma nimenasaaa**
(anasaaaa).
................... "free nation"..............
...................
...................
~ The End ~
.............
.............
............