![Miluzi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/11/ec7705c62322452492a19999134c7612_464_464.jpg)
Miluzi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Miluzi - Baddest 47
...
mhhh weed
champion boy
tumekuja kuenjoy tupunguze kujuana
hapa n machupa na marijuana
maswali mengi mpaka tunatibuana
we huelewi una nini unalaana unalaana
unashangaa unasoma we
hizi n pesa sio mawe
ungezipenda ungesoma we
tunatumia tunachoma we
yeah.. zingatia itifaki kama nakuboa kashtaki
una nyota mi Nina kismarti
utaki jimeze ama kaunde kamati
Bado sijasikia miluzi ..,........
Bado sijasikia milio....
Bado sijasikia miluzi, sijasikia milio
sijasikia kitu kikinukia pande hio
sijasikia laki sio pesa weka milio
party bila babe party ama komnio
sijaona wanangu wakubanjuka tuu
wanangu wakusizi mi vibe Kwa juu
mivibe ni gani mi vibe Iko full n mwendo wa vi parcel ganji Kwa juu
yooh hapa si ni kuparty na Pepo la umasikini halitupati unataka hutaki chupa zinaletwa tena Kwa six pack
yeah zingatia itifaki kama nakuboa kashtaki una nyota m ninakismart utaki jimeze ama kaunde kamati
Bado sijasikia miluzi
Bado sijasikia milio
unashangaa unasoma we
hizi ni pesa sio mawe
ungezipenda ungesoma we
tunatumia tunachoma we
Bado sijasikia miluzi
Bado sijasikia milio
frank bachuba did this