- Genre:Soundtrack
- Year of Release:2023
Lyrics
Leo - Sir jay Tz
...
Instruments,,ruka na mazegereboi Superga me is bigger oa mwanzo nilizama kwa demu wa Facebook nikavunja kibubu shape henesi kumbe ndani ni chibubu nikalishwa mapupu kwa status viuno vingi mara pozi na picha za utupu kavishwa jezi kitete kashindwa kusakata kabumbu oa oa jaga master fomi jaga master fomi wali mandondo wali mandondo sikai mwishoni wakipenya huko sili makombo sili makombo mapenzi hayanitesi Niko bize na maokoto unakesha unamuwaza mwenzako ana ma...a...oo Si maleoo oo Leo Leo ahleoo×2...Ah Leo ooh Leo leo ahleoo×2. Dj weka kisingeli tunacheza bila formation bila formation wekeni duara mi nataka niwakomesheni niwakomeshe Sina service road nawapitisha matopeni kwenye matope mzigo wa kwanye fuso mi nabeba kwa mkokoteni aiii..oa jaga master fomi jaga master fomi wali mandondo wali mandondo sikai mwishoni wakipenya huko sili makombo sili makombo mapenzi hayanitesi Niko bize na maokoto unakesha unamuwaza mwenzako ana..ko.. ma..ko..po si maleo ooleo leo aah leo×2 umoo ,, mapenzi ,bila pesa ni adhabu, Aya mapenzi Ayana utaalamu, Athumani, alijifanya hipop, ameachwa anaimba taarabu. Si maleoo oh Leo Leo ahleo×2...... instruments
Similar Songs
More from Sir jay Tz
Listen to Sir jay Tz Leo MP3 song. Leo song from album Leo is released in 2023. The duration of song is 00:02:58. The song is sung by Sir jay Tz.
Related Tags: Leo, Leo song, Leo MP3 song, Leo MP3, download Leo song, Leo song, Leo Leo song, Leo song by Sir jay Tz, Leo song download, download Leo MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
ashilafu selemani
Fredy Spera
mwamba
159399565v
unajua
Deleted User
Aloohh. ... goma la kwenda [0x1f636]
Colya11
Mamae Bonge moja la ngoma upoaji mwingi.. [0x1f63f]
brother unajua we noma