![Singo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/21/f9e217cfea4944ce9b17b8ba11207780.jpg)
Singo Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Singo - Baddest 47
...
...Yeah...
Ah..
unaenjoy unaenjoy ukiwa singo jamani unaenjoy unaenjoy unaenjoy
ukiwa singo kwa kweli unaenjoy.
UNAENJOY
UNAENJOY
UNAENJOY
Mmmh, tuacheni utaniee, Aaah usingo ni amani ee, hata nichelewe kurudi haikatai na tukiwa na party popote nakwenda, kutoana roho kisa penzi haifai, Mwenzenu nniko singo jamani napenda Aaah