![Unaota](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/11/e5a2fd52e6c8488a96d9fe3fa11c3ba1.jpg)
Unaota Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
Lyrics
Unaota - Baddest 47
...
oukeyy
whiiddy. champion boee
unaotaaa
yah
unaota we mdada
unaota
mmh unaota we mkaka
mmmh unaotaaa iyaah
unaotaa
mmmmh unanaotaa iyaah
unaotaa
mapenz matam kuliko kula
unaotaa
wembamba wanavutia kuliko wenye chulaa
unaotaa
tusifanye chochot na umesaulaaa
unaotaa
kisa umepita naye tushindwe kumlaa
unaotaaa
nisinywe pombe kisa panadol
unaotaa
yanga wanamsajili ronardo
unaotaa
unamshauli chawa apunguz shobo
unaotaa
slay qeen alaf alinde kitobo
yaah unaotaaa we mdada
unaota
mmh unaotaa we mkaka
unaotaa . *2