![Heshima](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/34/rBEeNFqmLH6AZS-oAAC3ge_LIng132.jpg)
Heshima Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Heshima - Anastacia Mukabwa and Rose Muhando
...
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
mateso yako ni ya muda tu
mungu akwandalia ushuhuda
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
ee baba
Daudi alikuwa mchunga kondoo
Mungu kamwinua kuwa mfalme...wa Israeli
Wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
leo unaitwa ombaomba kesho utaitwa mbarikiwa
wanaokudharau siku moja
watusalimia kwa heshima
ahaa
licha unatembea kwa miguu
kesho utaendesha gari lako
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
nasema watakusalimia
kwa heshima
aha watakusalimia
kwa heshima
wakati wako wa kuinuliwa (ukifika)
eeh watakusalimia (kwa heshima)
wakati wako wa kubarikiwa (ukifika)
ah watakusalimia (kwa heshima)
wakati wako wa kukumbukwa (ukifika)
eeh watakusalimia (kwa heshima)
*******
wanosema hautaolewa
watashuhudia ndoa yako
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
pale utakapovalishwa pete
watashikwa na kigugumizi
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
wanaosema wewe ni tasa
watakuona ukinyonyesha
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
eeeh baba
kama Mungu alimkumbuka Sarah
hata wewe utakumbukwa
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
nasema watakusalimia (kwa heshima)
ah watakusalimia (kwa heshima )
wakati wako wa kuinuliwa (ukifika)
eeh watakusalimia (kwa heshima)
wakati wako wa kubarikiwa(ukifika)
ah watakusalimia (kwa heshima)
wakati wako wa kukumbukwa(ukifika)
eh watakusalimia (kwa heshima)
********
kwa kuwa Mungu wetu ni Ebeneza
hata sasa yupo
msaada wetu wa karibu
mwite ataitika
jifunze kuwa na subira, utafanikiwa
saa na siku usiyodhani mama
atakuinua
wanaokudharau
siku moja watakusalimia kwa heshima
wanaokudharau siku moja
watakusalimia kwa heshima
ona leo wankuita kigaragosi
kesho watakuita bosi
(eh eh)
wanaokudharau siku moja (maa maa mama)
watakusalimia kwa heshima
waliokunyima kadi za harusi
kesho wataomba shela yako
wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
mamaaa
ona leo wanakupiga kibuti
kesho watakupigia saluti eh
wanaokudharau siku moja
(mamahmahmam)watakusalimia kwa heshima
watakusalimia
kwa heshima
ah watusalimia
kwa heshima
watakupigia magoti
ukifika
watakusalimia
kwa heshima
walikuona jalalani (ilukifika) kesho watakukuta ofisini
kwa heshima
watakusalimia eh
ukifika
ah watakusalimia
kwa heshima
watakupigia saluti eh
ah watusalimia kwa heshima eeeh mamaaaa
the end
by Phellow 254790511905