![Utukuzwe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/34/rBEeNFqmLH6AZS-oAAC3ge_LIng132.jpg)
Utukuzwe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Utukuzwe - Anastacia Mukabwa and Rose Muhando
...
Lyrics synchronised by Phellow 254790511905
***********
heheeee heeeeee
haiyayayaweee
hellooooo
Hallelujah!
(Sung in Swahili)
Ee Mungu utukuzwe, milele na milele
(Oh God be praised forevermore)
Tena uinuliwe, katika mataifa yote
(And be lifted up in all nations)
Ee Mungu utukuzwe, milele na milele
(Oh God be praised forevermore)
Ee Mungu uinuliwe, milele na milele
(Oh God be lifted forevermore)
Tena uhimidiwe katika mataifa yote
(And be worshiped in all nations)
Jina lako la ajabu, Wewe utishaye kuliko simba
(Your awesome name; terrifies than a lion)
Wala haufanananishwi na chochote
(You cannot be compared with anything else)
wewe utishaye kama simba
wala hufananishwi na chochote
Jina lako Baba la ajabu
Lord, your name is awesome)
*****Refrain:****
Wewe uliupiga mwamba
maji yakabubujika
(You hit a rock, and water sprang forth)
Katikakati ya jangwa (wewe ulifanya njia) (
In the desert, you opened a way)
Walipokumbana na adui
Wewe uliwapigania)
(When confronted, you fought for them)
Wakafika (Kule Kanaani salama)
(You led them safely to Canaan) (Repeat)
wewe uliupiga mwamba
maji yakabubujika
katikati ya jangwa
wewe ulifanya njia
walipokumbana na adui
wewe uliwapigania
ndipo uliwafikisha
kule Kanani salama
Usifiwe, utukuzwe
Be praised, be magnified)
Utukufu ni wako, milele na milele
All glory belongs to you forevermore)(Repeat)
usifiwe utukuzwe
utukufu ni wako milele na milele
******instruments *******
****verse2******
Haya visiwa na viimbe
(Let the islands sing)
Mito na ipige makofi
(The rivers to clap in praise)
Ndege na waseme AMINA kubwa
(The birds to say a big AMEN
Wanyama wa mwitu wasifu
(The wild animals to praise)
haya visiwa na viimbe wee
mito na ipige makofi
ndege na waseme Amina baba
wanyama wa mwitu wasifu
Maana anatawala, wewe Bwana(
The Lord reigns, you Lord)
Heshima na enzi ni vya Bwana (
Honor and dominion are the Lord’s)
Utukufu na nguvu ni vya Bwana
(Glory and Might are the Lord’s)
Umeketi mkono wenye nguvu
You who sit on the mighty hand) (Repeat)
Maana unatawala wewe Bwana
heshima na enzi ni vya Bwana
utukufu na nguvu ni vya Bwana
umeketi mkono wenye nguvu
wewe uliupiga mwamba
maji yakabubujika
katikati ya jangwa
wewe ulifanya njia
walipokumbana na adui
wewe uliwapigania
kule Kanani salama
wewe uliupiga mwamba
maji yakabubujika
katikati ya jangwa
wewe ulifanya njia
walipokumbana na adui
wewe uliwapigania
wakafika
kule Kanani salama
usifiwe utukuzwe
utukufu ni wako milele na milele
usifiwe utukuzwe
utukufu ni wako milele na milele eeeeeh
****piano*****
Heshima ni yako (milele na milele
All honor is yours, forevermore)
Utukufu ni wako (milele na milele)
(All glory is yours, forevermore)
Heshima ni yako Jehova milele na milele)
All honor is yours, forevermore)
Mamlaka ina wewe (milele na milele) wewe ulije juu
Dominion is yours, forevermore)
Malaika waimbe (milele na milele)
Let the angels sing, forevermore)
Wazee ishirini na nne waseme (milele na milele) eeeyaa
(And the 24 elders say, forevermore)
Na wale wenye uhai waimbe (milele na milele)
Let all the living sing, forevermore)
Na watakatifu waseme (milele na milele)
usifiwe utukuzwe
utukufu ni wako milele na milele
(And all the Holy to say, forevermore
lyric sync by Phellow 254790511905