![Kiatu Kivue](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/34/rBEeNFqmLH6AZS-oAAC3ge_LIng132.jpg)
Kiatu Kivue Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Kiatu Kivue - Anastacia Mukabwa and Rose Muhando
...
Lyric synchronised by Phellow 254790511905
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu
kivue
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu
kivue
ulichotoka nacho kwa Farao nakwambia ah
kivue
mahali hapa ni patakatifu hicho kiatu eeh
kivue
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu
kivue
Eh Mungu alinena naye Musa hicho kiatu
kivue
ulichotoka nacho kwa Farao nakuambia ah
kivue
mahali hapa ni patakatifu hicho kiatu eh
kivue
Musa hicho kiatu ee...kivue
Musa hicho kiatu...kivue
nataka ninene nawe...kivue
nataka nikutumie...kivue
nataka nikuinue...kivue
nataka nikubariki...kivue
watu wangu waangamia...kivue
taifa langu la Isiraeli...kivue
watu wangu wanasononeka...kivue
watu wangu wanateseka...kivue
nataka nikutumie wewe...kivue
ukaokoe taifa langu eeeeeee....kivue eeeeeee
********verse2
hata leo Mungu anena nasi hicho kiatu eeh
kiatu ni dhambi uzifanyazo ninakwambia
ukahaba unaoeneza kandokando ni kiatu eeh
wivu na masengenyo vimekuja ah ni kiatu
kitakupeleka jehanamu hicho kiatu eh
kitakupeleka motoni wewe hicho kiatu eh
uzinzi unaoeneza wewe ni kiatu
kuvalia wake wa wenzio makoti eeh nakwambia
kutongoza waume wa wenzio ni kiatu eeh
kitakupeleka jehanamu hicho kiatu eeh
mama hicho kiatu eh
baba hicho kiatu eeh
nataka ninene nawe
maana ninakupenda
nataka ninene nawe ili nikuokoe
mimi sitaki uangamie
mimi sitaki upotee
mimi sitaki uangamie
maana mimi ninakujali
mimi Mungu ni wa neema
mimi Mungu ni wa upendo....oooooh
*********
ukitaka Mungu akubariki lazima kiatu....kivue
ukitaka kuinuliwa wewe ni lazima...kivue
wivu ulionao wewe ni lazima ah...kivue
hutaki kuona mwenzako mama akiinuliwa wewe...kivue
hutaki kuona mwenzako akiwa amependeza...kivue
hutaki kuona mwenzako akiwa yuko smart...kivue
tabia uliyonayo mama ninakwambia wewe...kivue
hutaki kuona ndoa ya mwenzako
jamani mke na mume wakicheka...kivue
tabia uliyonayo baba...kivue
nakwambia badilika...kivue
hutaki kuona huduma ya mwenzako ikisonga mbele
kivue..
hebu kivue ..kivue
jamani hebu kivue...kivue
kiatu cha nyumba ndogo...kivue
kiatu cha ulevi...kivue
kiatu cha uzinzi...kivue
kiatu cha masengenyo .kivue
kivue
ooooooooooooooooo oooooooooo ooooo ooooooo oooh
kivue...kiatu kivue. kiatu kivue.....eeeeeeeeeeeeeeeh
Mungu ananena nawe iye hicho kiatu...kivue.....
kuvalia vimini wayme wa wenzio iwe mwisho....kivue
kuvalia vitopu waume wa wenzio iwe mwisho...kivue
kupaka wanja kwa waume wa wenzio iwe mwisho...kivue
nataka nikupe mumeo...
nataka nikupe nyumba yako...kivue
nataka nikuinue....
kivue
nataka nikuine...niinue mume wako...kivue
niinue nyumba yako...kivue
nimwinue mke wako....kivue
nikupatie mchumba...kivue
kiatu cha nyumba ndogo...kivue
Mungu anasema na wewe hicho kiatu....kivue
aaaaaaaaaaaaaaah.....kivue....aaaaah...kivue...ooooh...kivue
hicho kiatu...kivue......eeeeeeeeeee eeeeeeh
hicho kiatu...
nataka niseme na wewe nataka nikubariki....
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah aaaaaaaa aaaaaa ahaaaaa
lyric sync by Phellow 254790511905