![Tabu Zangu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/34/rBEeNFqmLH6AZS-oAAC3ge_LIng132.jpg)
Tabu Zangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Tabu Zangu - Anastacia Mukabwa and Rose Muhando
...
Tabu Zangu zikiisha,
Ntamwona Bwana wangu
Akinikaribisha kuleee,,karibuu upumzikee..eeeh
Hapa ndipo nyumbani kwako,hapa mahali pako
Hapa ndipo makao yko...karibuuu upumzike...haleluyaaa,ntaketi Kwa furahaa, nitapumzikaaa kwa Mungu..nitapumzikaaa
Nitavishwa mavazi meupee,,nitavishwa taji ya ushindiiii...taabu zote na mateso yote,,hakikaaa Zita komaa..eeeeeh nitaungana na malaika,masheraaaabi na makerubu,tuuukiiimba nyimbo za ushindi,,haleluyaaa usifiweeeee.......
Ayeyeyeyeeee bababaaa eeeee mamaaaa..Naona mbingu zimefungukaaa,,na Yesu mkono wa kiume, Akinitazama Kwa upolee...Kwa macho yenyee hurumaaa 222
mmmmmmhhhhhh oooooh natazama vidondaa vyangu, natazama makovu yanguuuu...Nilo umizwa duniani na watu wa ulimwengu222....nachuuukuwa kitambaaa,,akanivuta machozi akisema ''....pole mwanangu...'' Yesu kani kumbatia
oooooh yaaah.baada ya kitambo kidogoooo nitapumzikaaa Yesu atanipeleka kwanye kijito Cha uhaii hukoo atanioshaa uhaii....nitapewa uhaii naminita imba hosanna,,hosana....nitaruka kama ndama,milele hata milele....2222
Yatoshaaa walivyoo walivyo kionea,dhulumu,kupiga karibu upumzike222
Yatosha walivyo kuudhii, kutukana , kusomea karibu upumzikeeeeeeeeeeehhhh...
Haleluja nitauona uso wa Mungu ,nitamwona Yesu niliye pigwa juu yake