![Zawadi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/02/7E/rBEehlp5RKGAUlJCAADA9kfgUGg273.jpg)
Zawadi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Zawadi - Nandy & Aslay
...
Nilichotaka Mimi hii
ni amani na pia upendo ushamiri
,ni vigumu kwakoo kutambua
ni kiasi gani hii nakupenda,
umenipa hadhi, umenipa familia
penzi letu sisi si la urafiki,
umenipa hadhi,umenipa familia,hatusikiliziii maneno ya wanafiki
,umenipa zawadi ya pendo lakooo, honey
sina mwingine zaidi yako* ewee baby
umenipa zawadi ya pendo lako, honey,
sina mwingine zaidi yako, ewe baby
wengi wao mpenzi, wanatamani
kuwa kama sisi, hawatuachani
penzi letu mpenzi, ni milelee
ili tupate ladhii, za mwenyezii
umenipa hadhi, umenipa familia
penzi letu sisi si la urafiki,
umenipa hadhi,umenipa familia,hatusikiliziii maneno ya wanafiki
,umenipa zawadi ya pendo lakooo, honey
sina mwingine zaidi yako* ewee baby
,umenipa zawadi ya pendo lakooo, honey
sina mwingine zaidi yako* ewee baby
eiyeeeee beibii. ...........